Nayer6
Member
- Jan 28, 2018
- 78
- 94
Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
