Kiukweli, Lowassa anaitesa CHADEMA

Hilo Gamba Nape Kapambana Nalo Tangu 2008, Nadhani Lilipojivua Alichinja Kuku.Huyo Jamaa Zaidi Ya Kuwa Na Pesa Za Ujanja Ujanja Na Genge Hatari La Wafanyabiashara.Ni Mwiziii

Shukuru id fake, ungelitoa ushahid kaiba nini
 
Anaitesa CCM.

Mkutano mkuu wa bwana yule alimtaka lowassa mara 44.

Hakuna mkutano unafanyika bila kumtaja lowassa
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.

Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.

Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!

Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Bado hujaeleza Lowassa anawatesaje Chadema, unless kama umeamua kuwafurahisha tu wana CCM wenzako. Katika utawala huu ambao uhuru wa vyombo vya habari unaminywa kwa sheria kandamizi, mikutano na maandamano ya vya siasa yamekatazwa, saa ngapi watajitokeza kuusemea uovu wa CCM? Huko bungeni nako wanafanya vikao vya faragha, wabunge wa upinzani wananyanyaswa, unaanzia wapi?

Be realistic kijana, sio unakuja hapa kuropoka tu
 
Kwani hao mnao waita mafisadi ccm mbona nap hawachukuliwi hatua
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.

Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.

Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!

Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.

Umeandika vizuri ingawa naomba tuhitilafiane kidogo.

Kwa jinsi muda unavyokwenda ni lazima mambo yabadilike na kuingia kwa Lowasa CDM kuna faida na hasara zake na hilo halina kificho.

Suala la ufisadi,ni kweli CDM walimshambulia kwa kila njia na hata watu wa CCM (namkumbuka Anna Kilango) na neno lake "patachimbika" lakini baada ya muda kupita ukweli umeanza kuonekana.

Kwa kuhamia CDM,viongozi wa juu wamepata fursa ya kumhoji kwa kina na naamini ametiririka mengi na kuna ambayo hayawezi kutoka hadharani (huyu alikuwa waziri mkuu na ana kiapo cha kutunza siri za baraza la mawaziri).

Lakini pia kwa CDM siasa za uanaharakati kwa utawala huu wa JPM zingeendelea ina maana tungeshahesabu vifo vya kutosha au hata chama chenyewe kufutwa,utulivu huu kauleta EL.

Kwa hiyo CDM asilia,waliokulia katika migomo,vurugu kiasi ni lazima wajipange upya ili kuendana na utawala huu.

Matokeo ya Bashe na wenziwe kuishambulia serikali ya CCM ni mbinu pia za ku pre empty hoja za wapinzani.

Naamini wanaoteseka zaidi ni wale ambayo wanahubiri Ujamaa wakati wanatekeleza ubepari.Wanapiga vita rushwa wakati chama chao rushwa ni kama uji na mgonjwa.
 
Hakuna mtendaji wa hovyo kuwahi kutokea kama Mashinji,pale kuna galasa na kikaragosi cha mbowe,eti kateuliwa kwa uwezo wake wa kuratibu migomo.Kwa sasa hakuna hata nukta ya kujadili mgomo kabaki kuzurura ulaya ofisini kabakia Mwalimu
 
HV Hamna ishu nyingne zaid ya Lowassa mbona Lumumba mnaweweseka na huyu MTU VP kale kamgao ulihucka au?
 
Naona zako hazikutoshi kwa hiyo unataka kupotosha jamii kuwa Escrow, meremeta ,dowans,zote lowasa mnawaza lowasa tu basi wamtumbue kama hatoenda maviccm wengi
 
Umeandika mengi lakini hukusema ufisadi wake ni nini????..

Ana maana kuwa Lowassa na CHADEMA ndio walokwenda STANBIC na masandarusi kuchukua hela za TEGETA ESCROW Account. Baadae wakaona haitoshi wakamtuma LUGUMI akachote 22bn maana hizo za ESCROW hazikuwatosha
 
Hakuna mtendaji wa hovyo kuwahi kutokea kama Mashinji,pale kuna galasa na kikaragosi cha mbowe,eti kateuliwa kwa uwezo wake wa kuratibu migomo.Kwa sasa hakuna hata nukta ya kujadili mgomo kabaki kuzurura ulaya ofisini kabakia Mwalimu
Amekutenda nini?
 
Naona zako hazikutoshi kwa hiyo unataka kupotosha jamii kuwa Escrow, meremeta ,dowans,zote lowasa mnawaza lowasa tu basi wamtumbue kama hatoenda maviccm wengi

Of course Lowassa anahusika kwenye fisadi zote hizo. Hiyo haina ubishi!! Kutumbuliwa mbona tayari. Kutoswa na CCM kwenye kinyang'ang'anyiro cha Urais 2015 ni kutumbuliwa tosha. Na hasa ukitilia maanani gharama kubwa alizoingia ikiwa ni pamoja na kujidhalilisha kwenye kila aina ya madhehebu kujifanya ni mmoja wao. Lakini pamoja na yote hayo akapigwa chini na CCM, sasa jamani mwataka atumbuliwe vipi tena?
 
Hilo silifahamu hivyo sina jibu lake ila ninachofahamu ni kwamba tatizo la Tanzania siyo CCM kuwepo madarakani wala Katiba!
Katiba siyo inayowazuia Upinzani kuingia madarakani, kwani kama Watanzania wakiamua kuiondoa CCM hata kesho inaondoka, kinachoiweka CCM madarakani ndicho hicho kinachozuia Upinzani kuingia madarakani nacho ni Imani, Watanzania bado hawajawa na Imani na Upinzani na kwa kiasi kikubwa bado wanaiamini CCM, utabisha na kukataa unavyotaka lkn huo ndio ukweli!
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.

Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.

Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!

Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Mie najaribu kufikiri kwa sauti, hivi Dr Slaa angekuwa bado yupo CHADEMA, angekubali kweli baba j awabane wapinzani hivi!?
Naona Mamvi hana mipango wala mikakati yoyote kupambana na ukandamizaji wa democrasia
 
Back
Top Bottom