Kiukweli dunia ni ya wachache

Kiukweli dunia ni ya wachache

Hilo neno "connection" Ni kulingana na mchungaji wa ufufuko na uzima, ukimuona atakuelewesha.
 
Hayo kiukweli yanasimuliwa tu...cjayashuhudia katka umri wangu
kutokuyasikia ww sio sababu yasitokee, Rudi kwenu Jua ilikuwaje kwa maana ukijua shida ndo utajua jinsi ya kuomba usije ukaomba kilokole tu.

Itabidi uingie kwenye maombi ya siku saba Nasfi yako ikishuhudi ufunge utafunga, First born ni shidah Muombe Yesu kwa dam yake ya samani ufanyike lango upya ili ufanyike baraka ww na kwajili ukoo wa kwako.

Una miaka mingap?
 
Back
Top Bottom