- Thread starter
- #21
Hayupo.. ..pole sana,kwa maana hiyo huwezekan mdogo wako au wadogo zako walio chin kufanikiwa.
Ndugu wa tumbo moja na babako kuna ajie fanikiwa kifedha?
Hayupo.. ..pole sana,kwa maana hiyo huwezekan mdogo wako au wadogo zako walio chin kufanikiwa.
Ndugu wa tumbo moja na babako kuna ajie fanikiwa kifedha?
World has become a 'champagne glass' , globalization will fill it fuller for wealthy few.1.Napambana na sifanikiwi
Ila kuna wachache hata hawatoi jasho wanakula na wanasaza
2. Nkaona huenda shda ni elimu, nikasoma bado si msaada....mwaka wa 9 sasa mtaani, wenye ramani wanahitimu leo kesho wapo kwenye mfumo
3.Nikashika jembe,, piga mpini haswa mpaka viganja vinafanana na unyayo... Still ardhi sio yangu...
4. Nikaamua weka vyeti kabatini, ingia msituni nkachoma mkaa,, Maliasili wakanikalia koo na kunichomoa tonge lililo kooni tayar ..mzigo ukawa mali yao na faini nkalipa...
Naelewa sasa chimboko la BOKOHARAM, ISIS, ALSHABAAB, ... NI NJAA..
FactWorld has become a 'champagne glass' , globalization will fill it fuller for wealthy few.
Level ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe pichaHayupo.. ..
Unapatikana mkoa gani?B.A ED.. course ya watoto masikini
Mkuu nahsi huwa kuna koo ni umaskini tu kwa kwenda mbele sijui ni kwa nini!Mazingira ya ukoo wako yapoje kifedha au kimafanikio
Ni kubwa kaka.. ni ya wazazi (wa kiume) waliowekeza ulevi.. nilipambana kwa pesa ya kujikimu (boom) nikawajengea pa kuishi angalau pasipovuja... Nikajisahau mwenyewe.... Nikapambana kuwabadili wawe wachapa kaz za shamba,, angalau kwa sasa wanajiinua kidogo... ni wakulima wa kahawa..mfumo wa mauzo pia kikwazo kwa mwenye kipato kidogo.. hali tete..ila sijawa mvivu,,, nikasaka ajira private schools.. mwaka jana nikapata ajali pindi tunaenda kusimamia mitihani darasa la 7...kila njia ikajifunga kuanzia hapoLevel ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe picha
Ruvuma, mbingaUnapatikana mkoa gani?
Thanks1. Maisha yanahitaji utulivu, Subira, kisha uzoefu.
2. Kama hujayazoea Maisha tafsiri yake Maisha nayo hayajakuzoea.
"Practice makes perfect"
Ukirukia rukia matawi kamwe Maisha hayatakuzoea na hautakuwa na uzoefu.
3. Hata Huko Alshababy sijui Boko Haramu kuna hitaji mambo yaleyale, utulivu, subira kisha uzoefu.
Vyeti vya kitaaluma unavyo?Ruvuma, mbinga
Kila kutu unachokiona dunia hii ni siri! Na ukiiijua siri hakika wewe utakuwa ni mmoja wa hao unaowasema hawatumi akili wala nguvu nyingi lakini mambo yanawaendea sawa.1.Napambana na sifanikiwi
Ila kuna wachache hata hawatoi jasho wanakula na wanasaza
2. Nkaona huenda shda ni elimu, nikasoma bado si msaada....mwaka wa 9 sasa mtaani, wenye ramani wanahitimu leo kesho wapo kwenye mfumo
3.Nikashika jembe,, piga mpini haswa mpaka viganja vinafanana na unyayo... Still ardhi sio yangu...
4. Nikaamua weka vyeti kabatini, ingia msituni nkachoma mkaa,, Maliasili wakanikalia koo na kunichomoa tonge lililo kooni tayar ..mzigo ukawa mali yao na faini nkalipa...
Naelewa sasa chimboko la BOKOHARAM, ISIS, ALSHABAAB, ... NI NJAA..
Niite kaka nipe misingi nami nizijue hizo siri.. swear to be honest..Kila kutu unachokiona dunia hii ni siri! Na ukiiijua siri hakika wewe utakuwa ni mmoja wa hao unaowasema hawatumi akili wala nguvu nyingi lakini mambo yanawaendea sawa.
Thanks brotherVyeti vya kitaaluma unavyo?
Pm me your number and then I'll see if there is anything I can help you with
All the best.
Level ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe pichaHayupo.. ..
Kuna shida pahali huo umaskini sio wako ni wa ukoo wako, maadam ukiona unatoa bila kupokea jua kuna pahala pana shida, Haezekan ukoo wa watu 30+ wote maskini level ya chini haezekaniNi kubwa kaka.. ni ya wazazi (wa kiume) waliowekeza ulevi.. nilipambana kwa pesa ya kujikimu (boom) nikawajengea pa kuishi angalau pasipovuja... Nikajisahau mwenyewe.... Nikapambana kuwabadili wawe wachapa kaz za shamba,, angalau kwa sasa wanajiinua kidogo... ni wakulima wa kahawa..mfumo wa mauzo pia kikwazo kwa mwenye kipato kidogo.. hali tete..ila sijawa mvivu,,, nikasaka ajira private schools.. mwaka jana nikapata ajali pindi tunaenda kusimamia mitihani darasa la 7...kila njia ikajifunga kuanzia hapo
Ukiijua siri hakika utakuwa huru kwani utakuwa sehemu ya hiyo dunia unayoisemea...Niite kaka nipe misingi nami nizijue hizo siri.. swear to be honest..
That is fact..napambana nitoke kwenye hilo box...Level ya umaskin wa ukoo wenu ni ipi ebu nipe picha
Kuna shida pahali huo umaskini sio wako ni wa ukoo wako, maadam ukiona unatoa bila kupokea jua kuna pahala pana shida, Haezekan ukoo wa watu 30+ wote maskini level ya chini haezekani
Zipo nyingi, hayo maswali nilio muuliza n majibu yake mbaya zaidi yeye ni mlango yani firstborn, ngoja niendenae taratibuMkuu nahsi huwa kuna koo ni umaskini tu kwa kwenda mbele sijui ni kwa nini!
Babu yako mzaa baba yupo hai?That is fact..napambana nitoke kwenye hilo box...
Amekufa 2018.. akiwa chini ya uangalizi wanguBabu yako mzaa baba yupo hai?