Kiukweli dunia ni ya wachache

Kiukweli dunia ni ya wachache

Kachukue basi wanachokula. Ukilalamika humu utazuia nini zaidi ya kujifariji.
Hata wewe unaweza kuwa kigogo.
Ni muflisi kuamini riziki yako inazuiwa na binadamu mwingine.
Vitabu vimetuasa amtegemea binadamu amelaniwa.
Hao unaowaona ni vigogo nao wanamatatizo yao kibao.
Vuka hatua ya kulaumu wengine nenda kwenye hatua ya self esteem. Jiangalia wewe kama wewe nafasi yako na nature.
How nature support you sio mtu fulani ambaye naye anategemea nature.
Umesikia kilichotokea Gabon?? Utawala wa kifamilia na chama chao cha hovyo, vimetolewa.
 
Lini mkuu. Up date, nimeona na member mwingine katupia.
Je inaweza kuwa sababu ya kina Tinubu kuogopa kutolewa na vijana wenye ari mpya Afrika magharibi kiasi kwamba Anashinikiza Niger ivamiwe.
Maana Tinubu amehamaki sana kwenye mapinduzi ya Niger sasa Gabon what next?
Je Ecowas watamvamia nani wamuache nani?
 
Baada ya Arab Spring, hii inaitwa Francophone Spring. The young and vibrant Africas are now toppling dynastic and tyrant regimes all across.

Yajayo yanafurahisha. Stay tuned and don't touch that dial.
 
Chukuwa kikundi kidogo cha watu, tuseme 20, fanya utafiti uone wanaothubutu ni wangapi? Hapo utapata jibu kuwa dunia ni ya wachache. Wanaothubutu kwa mambo makubwa na mengine ya aibu ndio wenye maisha mazuri duniani.
 
1. Napambana na sifanikiwi
Ila kuna wachache hata hawatoi jasho wanakula na wanasaza.

2. Nkaona huenda shda ni elimu, nikasoma bado si msaada....mwaka wa 9 sasa mtaani, wenye ramani wanahitimu leo kesho wapo kwenye mfumo.

3.Nikashika jembe, piga mpini haswa mpaka viganja vinafanana na unyayo. Still ardhi sio yangu.

4. Nikaamua weka vyeti kabatini, ingia msituni nkachoma mkaa,, Maliasili wakanikalia koo na kunichomoa tonge lililo kooni tayar ..mzigo ukawa mali yao na faini nkalipa.

Naelewa sasa chimboko la BOKOHARAM, ISIS, ALSHABAAB, NI NJAA..
Badili Marafiki
 
Chimbuko la bokoharamu ni njaa haya anzisha na ww kundi lako kama unanjaa alafu utatupa mrejesho
 
Ngoja niwe muwazi, ikiwa kuna mtu kashikilia nyota yako au hela yako au kama alifika mbali akakutupia jini, Mkuu ni mpaka utibiwe la sivyo uwe mtu wa kusali kila muda na uache dhambi kabisa maana ukirudia dhambi basi tatizo liko palepale.

Ukiona jambo lako lolote haliendi sawa ujue ni NYOTA imeharibiwa Mkuu...
 
nipe ramani ya wapi wapo wasafishaj
 
Andiko lako limenigusa manake Nami ndo nayopitia aisee ,hapa nachotafuta ni kuhama nchi na kwenda kwingine nikaanze upya
 
Jiandae kwa upweke na depression. Kwanini tusi'force hapa hapa mkuu? Nje ni kwenda kutembea tu.
 
Andiko lako limenigusa manake Nami ndo nayopitia aisee ,hapa nachotafuta ni kuhama nchi na kwenda kwingine nikaanze upya
acha tu kaka... Nmewahi kulima kibarua kwa jembe na mkono na still nikadhurumiwa na boss
 
Chukuwa kikundi kidogo cha watu, tuseme 20, fanya utafiti uone wanaothubutu ni wangapi? Hapo utapata jibu kuwa dunia ni ya wachache. Wanaothubutu kwa mambo makubwa na mengine ya aibu ndio wenye maisha mazuri duniani.
BIG YES... VIJANA WENYE ARI YA UTHUBUTU, HASA VIJANA WA KIAFRIKA, NI WACHACHE SANA.
 
Back
Top Bottom