- Thread starter
- #101
AsantePole sana mkuu
AsantePole sana mkuu
Asante. Nisaidie pa kutokea mkuuPole sana mkuu
Nimelazimika kuijibu hii coment yako.Unfair distribution of resources chanzo chake ni ubinafsi wa watu wachache wanakula na watoto wao tu.
Inabidi ubadili mtazamo na uhalisia wako ili uwe kati ya hao wachache mkuu.1. Napambana na sifanikiwi
Ila kuna wachache hata hawatoi jasho wanakula na wanasaza.
2. Nkaona huenda shda ni elimu, nikasoma bado si msaada....mwaka wa 9 sasa mtaani, wenye ramani wanahitimu leo kesho wapo kwenye mfumo.
3.Nikashika jembe, piga mpini haswa mpaka viganja vinafanana na unyayo. Still ardhi sio yangu.
4. Nikaamua weka vyeti kabatini, ingia msituni nkachoma mkaa,, Maliasili wakanikalia koo na kunichomoa tonge lililo kooni tayar ..mzigo ukawa mali yao na faini nkalipa.
Naelewa sasa chimboko la BOKOHARAM, ISIS, ALSHABAAB, NI NJAA..
Vigogo wanakula na watoto wao. Au na wewe ni mtoto wa kigogo ndio maana unawatetea??Nimelazimika kuijibu hii coment yako.
Our world has abundant resources, so no one can glab and hide them all. Kuna maeneo mengi sana hao wabinafsi hawajafika.
Wanachoiba hapa TZ labda 1/100.
Nikweli hatufanikiwi, hatupaswi kuwalaumu wengine bali kuangalia mbadala.
Wezi Africa hawataisha, hili ni lango la wezi tangu karne nyingi ila hawajawahi kuzimaliza resources zote hapa Africa.
Sisi tunakosa elimu yenye maarifa hivyo tuopiganie hio.
Mfano kilimo anachokifanya kinaweza kisiwe chenye maarifa.
tunduma iyo ni id tu ndgu mimi sipo huko, njoo dar nduguTunduma au? Mjini kweli fursa kibao ila kushikana mikono mhimu
Nitazingatia mkuu Panapo nafasi mahali nitakujulisha usijali. Naamini wewe ni mlango wa jina jipya la ukoo wako.Asante. Nisaidie pa kutokea mkuu
Kachukue basi wanachokula. Ukilalamika humu utazuia nini zaidi ya kujifariji.Vigogo wanakula na watoto wao. Au na wewe ni mtoto wa kigogo ndio maana unawatetea??
Lkn tunduma nako nasikia mishe mishe za kimjini ni hottunduma iyo ni id tu ndgu mimi sipo huko, njoo dar ndugu
kuhusu magendo huko ndo pake, hela ipo ila huwe na roho, watoto wadogo tu wana lori za kutosha.Huko nshatokaga toka 2020Lkn tunduma nako nasikia mishe mishe za kimjini ni hot
Ndio changamoto inaonekana uwe mjuaji sana huko ndo utoboe...hilo la vijana wadogo kumiliki biashara za usafiri na usafirishaji kwa kiwango kikubwa nalisikia sanakuhusu magendo huko ndo pake, hela ipo ila huwe na roho, watoto wadogo tu wana lori za kutosha.Huko nshatokaga toka 2020
kuelewa harakati(ujuaji) ndo silaha popote paleNdio changamoto inaonekana uwe mjuaji sana huko ndo utoboe...hilo la vijana wadogo kumiliki biashara za usafiri na usafirishaji kwa kiwango kikubwa nalisikia sana
Dili haramu unapiga nikupe mchongo
Nipe dili DM msoto ushakuwa mkali.Dili haramu unapiga nikupe mchongo
we ni me au keNipe dili DM msoto ushakuwa mkali.