Kiufupi Sports Arena imekufa baada ya Kitenge kuondoka

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,688
Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.

Ambangile ni trash

Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi

Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi

Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..

Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,

Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.

IMG_20210806_103948.jpg
 
Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulalaView attachment 1882451
Unapata tabu na Diamond, ila uzuri humpunguzii kitu.

Kitenge ni Professional, ukimpandia dau unamchua ,kesho anaweza rudi tena Wasafi, sio wewe magroup mia ya WhatsApp huna mda hata wa kuijenga carrier yako.
 
Wasafi media hawakujua Kitenge alikuwa anawapeleleza. KITENGE NI MWAJIRIWA WA USALAMA WA TAIFA. Wasafi imeshachunguzwa na tusubiri matokeo. KITENGE ANAENDA KUUNGANA NA OSCAR KUMALIZA KAZI YAO ALIYOIANZA YEYE KITENGE PALE EFM.
Hata mm imani yangu toka ktambo kitenge ni usalama toka nlivomuona kwenye issue ya nape pale
 
Edo simwoni kama ni bora kiuchambuzi. Abaki kwenye makala.

Ambangile ni trash

Yule mdada kidogo kwa mbaaaaaaaaali Anajitahidi

Ahmed ni mtangazaji sio mchambuzi

Ricardo momo akiacha kazi wasafi fm hapati kazi radio nyingine..

Za chini chini Anaefata kuondoka ni Lil Omy,

Hata beki tatu wa ndani hawezi kukaa miezi 3 bila mshahara, japo kua anakula na kulala.

View attachment 1882451
Ndugu unaujua mpira?
Yaani mwanaidi ni bora kuliko Amba?

Una hangover utakua
 
Back
Top Bottom