mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,255
- 4,599
Diamond ni ccm, kwa hiyo wao TISS manowasema wangekuwa wanawachunguza wasafi kuwa itahatarisha usalama wa taifa?Nasikia Diva nae ndo kazi anayoifanya pale, ila sio mda mrefu nae ataondoka akishakamilisha uchunguzi wake