Mkuu kuna circumstances nyingi zinazofanya hao land lord kuwataka wateja kulipa kabla ya kukitumia chumba-kitu ambacho ni right kabisa na Duniani kote utaratibu huu unatumika.
Ubaya ninao uona ni kutaka Kodi ya miezi 3-12 mbele,huu sio utaratibu mzuri kiuchumi huko ni kumnufaisha mwenye mali Mteja anatakiwa alipe kila baada ya mwezi na sio vinginevyo nimeangalia hata baadhi ya mataifa ndio utaratibu unautumika-kama MTU ataamua kuulipa for the next 3-12 months basi iwe ni mapenzi yake.