Ni mwanafunzi wa Kiu huyuPromo on fleek, bila shaka wewe ni meneja masoko wa KIU
Kimenuka tayari mkuu...Huu ndiyo umbulula tunaita kwahyo majengo tu yamekufanya uamini ni chuo kizuri
Mkuu vyuo vinavyotoa MD wanaoeleweka tz ni vitatu tu muhimbili,bugando na kcmc
Vingine vinafata