Puma yetu
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 111
- 126
Hawa jamaa pamoja na kelele zote lakini kwa miundo mbinu kwa kozi za afy wamejipanga sana.Maktaba,maabara,walimu wa kutosha japo naambiwa wengi sio Watanzania na madarasa ya kutosha sikuamini. Nilifika chuoni hapo kujionea hali halisi nilipowapeleka vijana wangu ambao ninawagharamia mimi masomo yao baada ya kukosa mikopo sababu eti walisoma shule binafsi, nimejionea mwenyewe maana nilihofu kupoteza pesa zangu baada ya kusikiasikia kelele nyingi sana kuhusu chuo hicho.
Sijuo miundombinu ikoje kwa kozi zingine lakini kwa upande wa afya they are very smart.
Sijuo miundombinu ikoje kwa kozi zingine lakini kwa upande wa afya they are very smart.

