Elections 2010 Kituo feki cha kura chagundulika Shinyanga

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,500
86,042
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa na ukienda kituo kingine unalikuta! na kwamba inaonekana haikua bahati mbaya kwani jina la kwanza huku kule lilionekana sehemu nyingine, jamani naombeni mwenye taarifa kamili zaidi toka watu wa shinyanga au aliesikiliza kipindi hicho
 
This is a National News that deserves ATTENTION
 
Kila mwaka hawa jamaa wanakuja na staili mpya, inaonesha ile qty ya 19m voters iko manipulated kwa ajili ya hivi viyu feki. how can we audit the whole country?
 
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa na ukienda kituo kingine unalikuta! na kwamba inaonekana haikua bahati mbaya kwani jina la kwanza huku kule lilionekana sehemu nyingine, jamani naombeni mwenye taarifa kamili zaidi toka watu wa shinyanga au aliesikiliza kipindi hicho

Wakuu kama kuna watu wenye kamera waende eneo la tukio ku-document hii kitu, kama kweli ni hatari.
 
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa na ukienda kituo kingine unalikuta! na kwamba inaonekana haikua bahati mbaya kwani jina la kwanza huku kule lilionekana sehemu nyingine, jamani naombeni mwenye taarifa kamili zaidi toka watu wa shinyanga au aliesikiliza kipindi hicho

Ahsante sana kwa kutuhabarisha. Si ajabu kuna vituo feki vingi vya kupigia kura katika majimbo mengi nchini. NEC wanatakiwa watufahamishe kulikoni.
 
Muda bado upo. Wakazi wa Shinyanga pigeni picha, mzimwage hapa. Wenye link na Jaji Lewis, mpeni data kesho na ayatolee maelezo. This is SERIOUS.
 
My God! This is outregeous. Kwa nini CCM wanafanya hivi? Wanataka tufike wapi? Hili halikufanyika kwa bahati mbaya hata kidogo. Ni Mkakati maalum huu.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha.
 
Hivi watanzania tunaiondoaje NEC? Kama hii habari ni ya kweli nani awajibishwe?
 
This is their strategy na ni nchi nzima ndiyo maana walichelewa kuyabandika ili watu wasigundue huu upuuzi. Na vituo hivyo fake vimeshaandaliwa kura zake tayari zenye tick ya JK na mawakala wake ni UWT. Wapinzani fanyieni kazi hii issue haraka iwezekanavyo nchi nzima vinginevyo mmekwisha. Hili ndiyo bao la mkono la CCM
 
Nafikiri WAPO radio wanaweza kuirudia tena hii taarifa kesho kwene kipindi chao cha patapata saa moja na robo asubuhi, hata hivyo msimamizi wa kituo alisema haelewi jambo hilo na kituo kilikuwa na majina zaid ya 200! naombeni watu wa shinyanga wwnye taarifa zaidi watupatie
 
kabisa! ni lazima wapinzani wawasiliane na NEC haraka iwezekenavyo ili kufuatilia huu upuuzi na kuhakikisha wanapata maelezo ya kina.
 
Mkuu NEC ndiyo players wenyewe, sasa sioni kama kuna kuwasiliana nao cha kufanya ni kukusanya ushahidi kwa kuhakiki nchi nzima siku ya leo na kesho kisha kuutangaza huu uchaguzi kuwa ni VOID AB INITIO - Batili hata kabla haujafanyika

Miaka yote huwa wanawatumia walimu kama wasimamizi wa vituo ila mwaka huu wamewapiga chini, you know what will happen?, ni kwamba learning curve kwa watu wasiyo na uzoefu italazimisha ama wapiga kura wakate tamaa kwa slow pace of the process ama muda usitoshe wa kupiga kura na hivyo ku extend zoezi mpaka tarehe moja ili kutoa muda mzuri wa kuchakachua. Halafu walimu wana madai yao hawajalipwa hivyo CCM wanaogopa kuwa huenda watakataa kutumika katika uchakachuaji na kusimamia haki.
 
Nafikiri WAPO radio wanaweza kuirudia tena hii taarifa kesho kwene kipindi chao cha patapata saa moja na robo asubuhi, hata hivyo msimamizi wa kituo alisema haelewi jambo hilo na kituo kilikuwa na majina zaid ya 200! naombeni watu wa shinyanga wwnye taarifa zaidi watupatie

Mkuu hii radio iko mkoa gani na frequency zake ni zipi mkuu?
 
How can I communicate with CHADEMA senior officers????
 
Mkuu Kuna Mapungufu mengi sana katika Daftari la Wapiga kura na hili naamini halijafanyika kwa Bahati Mbaya

1: Kuna watu walihama vituo vya Kupiga Kura lakini ajabu bado majina yao yapo bado katika vituo vya vya Mwanzo

2: Kuna watu majina yao yametoka katika majimbo mengine mfano kuna watu kibao huko Tunduma (Mbozi magharibi majina yao yametoka Mbozi Mashariki ( Hivi hatujiulizi kwa nini CCM walikuwa wanaandikisha majina ya wapiga kura? Ishu ni kwamba CCM walipeleka majina hayo NEC ili yahamishwe katika vituo ili wasiweze kupiga Kura) na ndio maana NEC walichelewa sana kutoa Majina ili iwe too late

Huu ni Uhuni uliofanywa na NEC
 
Ndio maana Slaa alisema Chama tawala kupitia serikali ndio wanaoweza kureta vurugu ndio haya sasa NEC inatumika kila kukicha na CCM, Makame tueleze kwa nini hivi

Tena hao waangalizi wa kimataifa wapelekwe huko
 
Mkuu hii radio iko mkoa gani na frequency zake ni zipi mkuu?

AAAHHH kwa wakazi wa DAR ni 98.0 FM kwa kweli kwa mikoani sijui ila ni redio ambayo imepata umaarufu kutokana na kuripoti habari halisi, from the original source!!! Wameahidi pia kuripoti matokeo yote ya uchaguzi!!!
 
Mkuu NEC ndiyo players wenyewe, sasa sioni kama kuna kuwasiliana nao cha kufanya ni kukusanya ushahidi kwa kuhakiki nchi nzima siku ya leo na kesho kisha kuutangaza huu uchaguzi kuwa ni VOID AB INITIO - Batili hata kabla haujafanyika

Miaka yote huwa wanawatumia walimu kama wasimamizi wa vituo ila mwaka huu wamewapiga chini, you know what will happen?, ni kwamba learning curve kwa watu wasiyo na uzoefu italazimisha ama wapiga kura wakate tamaa kwa slow pace of the process ama muda usitoshe wa kupiga kura na hivyo ku extend zoezi mpaka tarehe moja ili kutoa muda mzuri wa kuchakachua. Halafu walimu wana madai yao hawajalipwa hivyo CCM wanaogopa kuwa huenda watakataa kutumika katika uchakachuaji na kusimamia haki.

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...ndishwa-madaraja-waliyoyadai-miaka-mingi.html
 
Back
Top Bottom