wananchi inabidi tutoe ushirikiano kwa polisi la sivyo tuta kwisha.hii ni hatari bunduki moja ikilia wengine hatulali sasa hizo kumi si nchi nzima tutakwisha?kama mtu anajua walipo majambazi julisha kwa ocd aliye karibu yako.
kwani geita si ni mkoa na una rpc wake?Kasamwa ni mji wa kwanza ukiwa unaingia mjini Geita lakini ni mji aingia mjini Geita lakini pia ni mji wa kwanza ukiwa untooka mjini Geita huwezi kufika ushirombo bila kupita geita ambapo ni makao makuu kulipo na tukio bila kupita makao makuu ya Geita otherwise upitie shinyanga kisha kahama na uingie ushirombo jambo ambalo ni gumu kwa sbb IGPni lazima apitie Geta kuonana na viongzi
wenzake kabla ya kufika kwenye tukio.
Atiii???!!!!kwani geita si ni mkoa na una igp wake?
Lazima wanatoka nje ya nchi hso majambazi.Ukicheka na kima........yani imefikia hatua mpk askari nao wanachezewa...inabidi jeshi hili liamke...hii inachangiwa na wao pia kuwalealea...majambazi yakikamatwa soon wayaona kitaani..R.I.P askari
Majirani zetu wameingiaje Nchini?ina maana hatuna ulinzi mipakani?Serikali ya CCM italeta majanga makubwa Nchini kama isipotolewa mapema.Waache siasa za kukimbizana na Vyama vya siasa na kula hela za walipa kodi maskini Dodoma badala yake waachie wenye uwezo wa kuongoza ili tuwe salama.Mkuu relax umeongea kwa jaziba hao nimajirani zetu sio wa tz
Mungu wangu hizo silaha zitatumika wapi?
Shida ni uhamiaji, hawako makini au ni rushwa, hao walovamia kituo siamini kama ni watanzania, hao huenda ni wanyarwanda,burundi, kenya, au wasomali, maana wao hawaogopagi polisi, wito wangu kwa polis msikae kizembe, mnashindwaje kuwa na silaha muda wote? Silaha mnazifungia mnakaa mnakunywa kahawa mnataimiwa,halafu msiwe mnakaa eneo moja, mkae mbali mbali na kila mmoja awe na silaha.mnapoona kundi linakuja kituon amrisheni kuwasachi, atakaewasachi awe ni mmoja tu,wengine muwaelekezee silaha ili wakileta fyoko toa roho zao,lakini kwa tabia hii ya polisi kukaa kwenye bench mmerundikana tena bila silaha na huku mmevua buti mmevaa kandambili mnakunywa kahawa mtaendelea kuuliwa kizembe namna hii,askari sita ni weng sana kama kila mmoja angekuwa na silaha yake na amekaa kijeshi, dhamani askari hata akiwa mmoja alikamata watuhumiwa hata sita na akawafunga mashati na kuwapeleka kituoni,lakini dhama za sasa askari wawili mtuhumiwa mmoja, hvy polis ondoeni dhana ya zamani,
Mtazamo umenikumbusha siku moja nikiwa kituo kikuu cha polisi Mwanza niliangalia jengo la CCM nikafikiria endepo ikitokea wahalifu wakarushia mabou kituo hicho kutokea juu ya magorofa hayo sijui ni kwa kiwango gani Polisi Mwanza wamejipanga kushinda mapambano ya aina hiyo.Wengine tulishaonya udhaifu wa kiulinzi ktk vituo vyote vya Polisi.....Askari wakishtukizwa watachanganyikiwa tu ........bado jeshi la polisi wapo kwenye enzi za kuogopwa kimazoea tu ......leo tunaonya tena Polisi wabadilike namna ya kuweka vituo vyao ktk hali ya utayari kila sekunde .......pia uwezekano wa jeshi kuwa bastola za kisasa za kutosha kwa kila askari badala ya kutegemea SMG ambazo ktk mazingira ya kawaida si nyepesi sana ktk kujibu mashambulizi ya ghafla na yanayohitaji safe and quick respond.....
Japo nachukia vitendo viovu vya jeshi la polisi vya rushwa na kubambikia kesi raia na wanasiasa wa upinzani imeniuma kwa huyo dada aliyeuawa namfahamu nimesoma naye na ni mtu wa nyumbani Mbeya. Alazwa mahala anapostahili kadri matendo yake yalivokuwa akiwa hai. Amen.