Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

[11:17, 06/09/2014] Meshak: BREAKING NEWSSSSSSSSS Kituo cha polisi w bukombe mkoani geita kimevamiwa na majambazi na kuua askari 2 na kupora silaha inadadikika ni silaha 7 taarifa hii nimeipata kutoka kwa pc ENOCK aliopo kituoni hapo.
[11:17, 06/09/2014] Meshak: Idadi ya silaha bado inatataisha ndio wanahesabu Amary kupata idadi kamili,ila walio uwawa ni G2615 pc dastan na wp 7106 pc ulia,aliyejeruhiwa vimbaya ni E5820 cpl mwamed ndio kapelekwa hospital bugado,pc mwamed kajeruhiwa mguu ambaye alikuwa mlinzi kituo,mwenzake ndio alipambana nao lakini alipoelekezewa risasi kwake ndio akakimbia na cid wa zamu
 
Wengine tulishaonya udhaifu wa kiulinzi ktk vituo vyote vya Polisi.....Askari wakishtukizwa watachanganyikiwa tu ........bado jeshi la polisi wapo kwenye enzi za kuogopwa kimazoea tu ......leo tunaonya tena Polisi wabadilike namna ya kuweka vituo vyao ktk hali ya utayari kila sekunde .......pia uwezekano wa jeshi kuwa bastola za kisasa za kutosha kwa kila askari badala ya kutegemea SMG ambazo ktk mazingira ya kawaida si nyepesi sana ktk kujibu mashambulizi ya ghafla na yanayohitaji safe and quick respond.....
 
Na ni wakati sasa hawa ndugu wawe katika hali nzuri sana kiafya kwa ajili ya abrupt combat kama hizo sababu hata silaha za kisasa zikitolewa kwa wingi kwa kweli physique bado ni changamoto miongoni mwa wengi, ulevi, wanavuta sana sigara, mazoezi wengi hawana!!!!! Sasa Baracks ndio pombe zinauzwa rahisi raia wanachanganyika na askari kulewa kabisa!!!!!!

Tukubali sasa wahalifu wanajifunza sana mbinu mpya kila uchao pamoja na silaha nzito ndio maana inaonekana kama wako vizuri kuliko dola wakati si kweli, kama tunapeleka wakakamavu mabenki na nyumba za viongozi kwa nini isiwe vituoni????!!!

Vituo viungwe kwenye mtandao yaani iwe a click away signal wwngine wajue punde kuwa kituo flani kuna shida sio mpaka radio uite na kama hajapokonywa bado!!!! Tusogee mbele kwa teknolojia zaid!!!
Tunapoteza askari kweli kabisa jamani mbona inauma sana??!!!

Tupitie upya mambo mengi ili sasa tupate matunda tarajiwa!!!!!
 
Nimepata taarifa kutoka kwa chanzo changu cha uhakika kuwa majambawazi waliovamia kituo cha polisi usiku wa kuamkia leo kituo cha polis Bukombe huko Geita wamfanikiwa kupora bunduki 18 za SMG. Nikipata Taarifa zaidi nitawajuza!
 
umekutana na igp wa wapi na akielekea wapi maana kasamwa na ushirombo mbalimbali!

Kasamwa ni mji wa kwanza ukiwa unaingia mjini Geita lakini ni mji aingia mjini Geita lakini pia ni mji wa kwanza ukiwa untooka mjini Geita huwezi kufika ushirombo bila kupita geita ambapo ni makao makuu kulipo na tukio bila kupita makao makuu ya Geita otherwise upitie shinyanga kisha kahama na uingie ushirombo jambo ambalo ni gumu kwa sbb IGPni lazima apitie Geta kuonana na viongzi
wenzake kabla ya kufika kwenye tukio.
 
Huwa nafatilia sana setting za vituo vya polisi na ukaaji wao katka lindo. Kwa kweli ni hatari tupu kwa usalama wa polisi wenyewe na silaha zao. Yaani hawa vijana wa siku hizi ni wazembe kvpitiliza. Unakuta wamelundikana sehemu moja na visimu wako kwe fasibuku, au wameweka silaha chini wanatongoza malaya. Kuna siku nmekwenda polisi kivinje wilayani kilwa nkamkuta askari wa zamu kalala fofofo kwa ulevi huku smg iko chini majira ya sa 4 usiku. Sio ajabu kumkuta polisi anasilaha huku akitoa mwanya kwa raia kupita nyuma yake. Angalieni vituo vidogo vya kongowe,kibada,himo,nachingwea stand,kimanzchana,sanawari nk, havina usalama kwa askai wa kizazi hiki kwani viko katkat ya mikusanyiko, makazi au njia za kukatiza kila upande. Pamoja na hayo askari wa kisasa wanafanya kazi kwa mazoea. Enzi zile askari humwamini raia, akipita unamkazia jicho la kumsaspect lakini polisi wa leo wanavuna maunda ya uzembe. Katka medani za jeshi hakuna neno 'bahati mbaya' kila tendo linalo pelekea kupotea,kifo,jeraha kwa askari/zana bila reaction. Haiingii akilini watu waje waue askari, wajichukulie silaha kisha wandoke salama. Huu ni uzembe, lazima watu wawajibishwe maana ni fedheha. Haiwezkani mijitu ilalipwa mishahara na kunenepeana huku ikichapa usimgizi.

umeongea point sana na yenye msisitizo.
Hii ni aibu kubwa sana majambaz watano wanavamia kituo na kupora silaha?!
Shenzyyy kabisa hili jeshi. Tatzo wametawaliwa sana na siasa kuanzia mkuu wao na makamishna wote wanaendesha hili jeshi kisiasa. Wasipobadilika watakwisha
 
Nchi imewekwa rehani. Serikali dhaifu, Jeshi la polisi limelala fofofo, wanachojua ni kudhibiti upinzani tu na kuhakikisha ccm 'inatawala milele'. Matokeo yake ndio hayo... Poleni wote mlioguswa na hili, lakini watu wa kuleta mabadiliiko ni sisi wenyewe. Mungu Ibariki Tanganyika!

kula like bro,ni kweli
 
Polisi ni mbulula sana, unawezakuta hao waliouawa walikua wanagegedana wakasahau lindo! Wengi akili zao wameshikiwa na masisiem!
 
Huwa nafatilia sana setting za vituo vya polisi na ukaaji wao katka lindo. Kwa kweli ni hatari tupu kwa usalama wa polisi wenyewe na silaha zao. Yaani hawa vijana wa siku hizi ni wazembe kvpitiliza. Unakuta wamelundikana sehemu moja na visimu wako kwe fasibuku, au wameweka silaha chini wanatongoza malaya. Kuna siku nmekwenda polisi kivinje wilayani kilwa nkamkuta askari wa zamu kalala fofofo kwa ulevi huku smg iko chini majira ya sa 4 usiku. Sio ajabu kumkuta polisi anasilaha huku akitoa mwanya kwa raia kupita nyuma yake. Angalieni vituo vidogo vya kongowe,kibada,himo,nachingwea stand,kimanzchana,sanawari nk, havina usalama kwa askai wa kizazi hiki kwani viko katkat ya mikusanyiko, makazi au njia za kukatiza kila upande. Pamoja na hayo askari wa kisasa wanafanya kazi kwa mazoea. Enzi zile askari humwamini raia, akipita unamkazia jicho la kumsaspect lakini polisi wa leo wanavuna maunda ya uzembe. Katka medani za jeshi hakuna neno 'bahati mbaya' kila tendo linalo pelekea kupotea,kifo,jeraha kwa askari/zana bila reaction. Haiingii akilini watu waje waue askari, wajichukulie silaha kisha wandoke salama. Huu ni uzembe, lazima watu wawajibishwe maana ni fedheha. Haiwezkani mijitu ilalipwa mishahara na kunenepeana huku ikichapa usimgizi.

Mkuu umeongea jambo la muhimu sana...yaani sikuhizi police wanafanya kazi zao kimazoea sana!

Wajifunze kwa JWTZ at least wapo vizuri ktk kujilinda kwenye kambi zao...!
 
Jamani iliwahi huu mchezo wa kuvamiwa vituo vya polisi ni hatari sana na nikutukosesha Imani Raia.
Matukio yote polisi haijajifunza kitu,hivi Smg 10 na mabomu kuwa Uraiani hii ni Salama kweli?
Mbona silaha nyingi sana hizo?
Na kwanini hivi vituo siku zote nasema havina hata Camera ya mchina?matoe yake hapo utasikia wamekamatwa watu,lakini ukweli wanakuwa sio,ni kutupumbaza tu.
Wameanza vituo vidogo sasa wameingia vituo vya kati,hii ni hatari sana.
Mbali na yote uchunguzi ufanywe ndani yajeshi la polisi pia,maana juzi tumesema sana Banks kuhusika wao kwa wao na hili nahisi kama kuna kitu kati hapa cha mchongo huo.
 
Back
Top Bottom