Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

Shida ni uhamiaji, hawako makini au ni rushwa, hao walovamia kituo siamini kama ni watanzania, hao huenda ni wanyarwanda,burundi, kenya, au wasomali, maana wao hawaogopagi polisi, wito wangu kwa polis msikae kizembe, mnashindwaje kuwa na silaha muda wote? Silaha mnazifungia mnakaa mnakunywa kahawa mnataimiwa,halafu msiwe mnakaa eneo moja, mkae mbali mbali na kila mmoja awe na silaha.mnapoona kundi linakuja kituon amrisheni kuwasachi, atakaewasachi awe ni mmoja tu,wengine muwaelekezee silaha ili wakileta fyoko toa roho zao,lakini kwa tabia hii ya polisi kukaa kwenye bench mmerundikana tena bila silaha na huku mmevua buti mmevaa kandambili mnakunywa kahawa mtaendelea kuuliwa kizembe namna hii,askari sita ni weng sana kama kila mmoja angekuwa na silaha yake na amekaa kijeshi, dhamani askari hata akiwa mmoja alikamata watuhumiwa hata sita na akawafunga mashati na kuwapeleka kituoni,lakini dhama za sasa askari wawili mtuhumiwa mmoja, hvy polis ondoeni dhana ya zamani,
Hili ulilosema lina uzito mkubwa na ukizingatia hakuna jambazi aliyepata jeraha!!kuna haja ya kuchunguza hili jambo na polisi wapewe mafunzo upya.polisi haruhusiwi kukaa akiwa kwenye lindo cha kushangaza siku hizi wanadai hata sofa!!eti wamechoka kusimama!!nawapa pole lakini tujirekebishe.
 
Ni kweli polisi wa siku hizi ni laini vipi askari sita mnabambwa kirahisi kiasi hicho hapo naamini walikuwa wamelala huo mtindo wanao mm binafsi nilikuwa na tatizo nimekwenda kituoni uwezi amini nimekuta kituoni taa wamezima mlango umerudishwa kiana wanakoroma nimegonga mlango mara tatu wakaamka
 
inapotokea majambazi wanavamia kituo cha polisi na kupora siraha inaonesha kabisa hatuna ulinzi madhubuti! kituo cha polisi kinavamiwa, sisi kapuku kuna usalama kweli vibandani mwetu?!!
 
Ni kweli polisi wa siku hizi ni laini vipi askari sita mnabambwa kirahisi kiasi hicho hapo naamini walikuwa wamelala huo mtindo wanao mm binafsi nilikuwa na tatizo nimekwenda kituoni uwezi amini nimekuta kituoni taa wamezima mlango umerudishwa kiana wanakoroma nimegonga mlango mara tatu wakaamka
Umeona sasa hadi unagonga mara3 hamna polisi hapo ni walalaji tu!!polisi analala kituoni!!:cool2:Sasa ungekuwa jambazi si ingekuwa balaa!!
 
Shida ni uhamiaji, hawako makini au ni rushwa, hao walovamia kituo siamini kama ni watanzania, hao huenda ni wanyarwanda,burundi, kenya, au wasomali, maana wao hawaogopagi polisi, wito wangu kwa polis msikae kizembe, mnashindwaje kuwa na silaha muda wote? Silaha mnazifungia mnakaa mnakunywa kahawa mnataimiwa,halafu msiwe mnakaa eneo moja, mkae mbali mbali na kila mmoja awe na silaha.mnapoona kundi linakuja kituon amrisheni kuwasachi, atakaewasachi awe ni mmoja tu,wengine muwaelekezee silaha ili wakileta fyoko toa roho zao,lakini kwa tabia hii ya polisi kukaa kwenye bench mmerundikana tena bila silaha na huku mmevua buti mmevaa kandambili mnakunywa kahawa mtaendelea kuuliwa kizembe namna hii,askari sita ni weng sana kama kila mmoja angekuwa na silaha yake na amekaa kijeshi, dhamani askari hata akiwa mmoja alikamata watuhumiwa hata sita na akawafunga mashati na kuwapeleka kituoni,lakini dhama za sasa askari wawili mtuhumiwa mmoja, hvy polis ondoeni dhana ya zamani,
Hili ulilosema lina uzito mkubwa na ukizingatia hakuna jambazi aliyepata jeraha!!kuna haja ya kuchunguza hili jambo na polisi wapewe mafunzo upya.polisi haruhusiwi kukaa akiwa kwenye lindo cha kushangaza siku hizi wanadai hata sofa!!eti wamechoka kusimama!!nawapa pole lakini tujirekebishe.
 
Shida ni uhamiaji, hawako makini au ni rushwa, hao walovamia kituo siamini kama ni watanzania, hao huenda ni wanyarwanda,burundi, kenya, au wasomali, maana wao hawaogopagi polisi, wito wangu kwa polis msikae kizembe, mnashindwaje kuwa na silaha muda wote? Silaha mnazifungia mnakaa mnakunywa kahawa mnataimiwa,halafu msiwe mnakaa eneo moja, mkae mbali mbali na kila mmoja awe na silaha.mnapoona kundi linakuja kituon amrisheni kuwasachi, atakaewasachi awe ni mmoja tu,wengine muwaelekezee silaha ili wakileta fyoko toa roho zao,lakini kwa tabia hii ya polisi kukaa kwenye bench mmerundikana tena bila silaha na huku mmevua buti mmevaa kandambili mnakunywa kahawa mtaendelea kuuliwa kizembe namna hii,askari sita ni weng sana kama kila mmoja angekuwa na silaha yake na amekaa kijeshi, dhamani askari hata akiwa mmoja alikamata watuhumiwa hata sita na akawafunga mashati na kuwapeleka kituoni,lakini dhama za sasa askari wawili mtuhumiwa mmoja, hvy polis ondoeni dhana ya zamani,
Kwa Tz hiyo inakuwa ngumu kwani askari wetu wanafanya kazi kwa mazoea, na sio ki professionalism! ! we unakuta askari yupo lindoni huku silaha ipo mita 50!! ameiweka kwenye kibanda au kama ni kituo kidogo cha polisi kuna silaha moja na wakati wa usiku wanakwenda kumkamata mtu na hiyo silaha huku kituoni wanamuacha mgambo!! na sio jeshi la polisi tu kwa hapa tz ni vyombo vyote vya ulinzi na usalama haviko pro active, ndio maana mala utakuta vitu vya kufikirika vinatokea hapa nchini.We toka lini ukasikia usalama wa taifa fake yupo kwenye msafara wa rais kama ilivyotokea huko Geita!!! Na hata hivyo tushukuru mungu nchini yetu haijapata changamoto zile kubwa za kihalifu, tutatafutana.
 
Wakuu habari za leo Jumamosi?!

Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Geita kwamba usiku wa leo majira ya saa 9 watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha polisi cha wilaya ya Bukombe na kuua askari sita waliokuwa zamu na kuvunja ghala la silaha na kuzichukua.

Nitaendelea kutoa taarifa kadri zitakavyokuwa zinanifikia.

Updates...

Askari waliokufa ni wawili mmoja hali yake mbaya sana...wengine watatu wamejeruhiwa.

MoreUpdates.

Askari waliouawa ni Dastan Kimathi na Hulia Mwandiga.

Waliojeruhiwa ni Mohamed Hassan Kilomo (25) ambaye amejeruhiwa kwa risasi kifuani na kuvunjwa mguu wa kulia.

Mwingine ni David Ngupama Mwalugelwa (44) ambaye amepigwa bomu kichwani na usoni na kumharibu vibaya.

Majambazi wamepora Bundiki 10 aina ya SMG pamoja na mabomu.

Inadaiwa walikuwa majambazi wapatao watano.

Muda si mrefu RPC Konyo atazungumza na waandishi wa habari.

Endelea kufuatilia hapa hapa...

Hakuna hata jambazi moja tz anaeweza kufanya uvamizi kituo cha polisi.Kamati ya ulinzi na usalama wawemakini na majirani zetu na polisi waachekuangaika na masheikh walinDe mipaka yetu
 
Ni kweli polisi wa siku hizi ni laini vipi askari sita mnabambwa kirahisi kiasi hicho hapo naamini walikuwa wamelala huo mtindo wanao mm binafsi nilikuwa na tatizo nimekwenda kituoni uwezi amini nimekuta kituoni taa wamezima mlango umerudishwa kiana wanakoroma nimegonga mlango mara tatu wakaamka

Tatizo wanafanya kazi ki mazoea tu.Kwani hukusikia huko mbeya kuna kituo cha polisi ikifika saa.3 usiku kinafungwa hadi kesho yake asubuhi kisa kuna baridi sana!!!askari waka lale makwao!! only in Tz
 
simba kumla mtu ni habari ya kawaida ila mtu kumla simba ni habari ya kusisimua sana
 
Huwa nafatilia sana setting za vituo vya polisi na ukaaji wao katka lindo. Kwa kweli ni hatari tupu kwa usalama wa polisi wenyewe na silaha zao. Yaani hawa vijana wa siku hizi ni wazembe kvpitiliza. Unakuta wamelundikana sehemu moja na visimu wako kwe fasibuku, au wameweka silaha chini wanatongoza malaya. Kuna siku nmekwenda polisi kivinje wilayani kilwa nkamkuta askari wa zamu kalala fofofo kwa ulevi huku smg iko chini majira ya sa 4 usiku. Sio ajabu kumkuta polisi anasilaha huku akitoa mwanya kwa raia kupita nyuma yake. Angalieni vituo vidogo vya kongowe,kibada,himo,nachingwea stand,kimanzchana,sanawari nk, havina usalama kwa askai wa kizazi hiki kwani viko katkat ya mikusanyiko, makazi au njia za kukatiza kila upande. Pamoja na hayo askari wa kisasa wanafanya kazi kwa mazoea. Enzi zile askari humwamini raia, akipita unamkazia jicho la kumsaspect lakini polisi wa leo wanavuna maunda ya uzembe. Katka medani za jeshi hakuna neno 'bahati mbaya' kila tendo linalo pelekea kupotea,kifo,jeraha kwa askari/zana bila reaction. Haiingii akilini watu waje waue askari, wajichukulie silaha kisha wandoke salama. Huu ni uzembe, lazima watu wawajibishwe maana ni fedheha. Haiwezkani mijitu ilalipwa mishahara na kunenepeana huku ikichapa usimgizi.

Mkuu relax umeongea kwa jaziba hao nimajirani zetu sio wa tz
 
Hakuna hata jambazi moja tz anaeweza kufanya uvamizi kituo cha polisi.Kamati ya ulinzi na usalama wawemakini na majirani zetu na polisi waachekuangaika na masheikh walinDe mipaka yetu
Wawe wa nje au wa ndani, kitendo cha kituo kuvamiwa na kutokea yaliyotokea ni udhaifu mkubwa sana na inatia simanzi!!!!
 
Hivi maduka yauzayo silaha kama lile la Tanganyika Arms huwa yanalindwa na nani?

Hili liwe fundisho kwa askari wa vituo vingine.
 
RIP askari wote waliopoteza maisha wakiwa kazini. Na poleni majeruhi wote. Naamini wahusika watapatikana na kuonja joto ya uharamu wa matendo yao. Vitendo vya kinyama kama hivyo havikubaliki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom