Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele.
Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga.
Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio amani wakati wenzetu wanatekwa kila kukicha, sio amani wakati wenzetu wanauliwa kila kukicha sio amani wakati majority tunapulia kwenye mashine.