Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,889
- 15,346
Hujielewi wewe,acha kutupotezea mudaKwahiyo kuchoma kituo cha usafiri cha umma cha wananchi wote (bila kujali itikadi) ambao wala siyo hao watawala wanaoteka kunasaidia nini?
Hujielewi wewe,acha kutupotezea mudaKwahiyo kuchoma kituo cha usafiri cha umma cha wananchi wote (bila kujali itikadi) ambao wala siyo hao watawala wanaoteka kunasaidia nini?
Nimeshuhudia kuanzia maandamano makubwa zaidi kutokea ya mwaka 2,000 ya CUF, na yale ya CHADEMA 2010 & 2014 na haya. Ni mara ya kwanza naona wananchi wanatarget mali zao wenyewe za umma badala ya mali za mafisadi.Hujielewi wewe,acha kutupotezea muda
Kweni hawaijui nyumba ya mafele mpaka wachome vituo vya mwendokasi?Ndio matokeo ya kuteka na kuua watu
Na wewe si unataka mabadiliko, saidia hiyo kazi sasaKweni hawaijui nyumba ya mafele mpaka wachome vituo vya mwendokasi?
Ukiteka na kuua that’s what you get, ndio mwanzo huoNimeshuhudia kuanzia maandamano makubwa zaidi kutokea ya mwaka 2,000 ya CUF, na yale ya CHADEMA 2010 & 2014 na haya. Ni mara ya kwanza naona wananchi wanatarget mali zao wenyewe za umma badala ya mali za mafisadi.
Ujinga ni mzigo sana, nina uhakika mtayajutia hayo mnayofanya!
Mabadiliko kwa kuchoma miundombinu?Na wewe si unataka mabadiliko, saidia hiyo kazi sasa
KWani wewe unaingia hasara gani?Ila ujinga na mihemuko 🚮🚮🚮
Badala ya kutarget ofisi za CCM na miundombinu yake, mnaenda kuchoma vituo vya mabasi vya umma ambavyo baada ya maandamano nyie wenyewe wananchi mtateseka kukosa usafiri 🤦🏽♀️🤦🏽♀️ na mtatoa pesa zenu za kodi kuvijenga upya.
Ya kulipia tena kukijenga au kukikarabati kwa pesa za umma kupitia kodi ninazokatwa kama mwananchi.KWani wewe unaingia hasara gani?
Bora sasa tutakuwa tina uhakika ni za umma kuliko hawa majambazi wanachota pesa za wahisani wana jitajirisha wao kwa kujenga vituo vya 10,000 na kutuambia ni milioni 500.Ya kulipia tena kukijenga au kukikarabati kwa pesa za umma kupitia kodi ninazokatwa kama mwananchi.
Kaa mpikie Mumeo chai thenSababu sifuati mkumbo na sina mihemuko!
Usinipangie cha kuandika mkuu 😎
huu ulikuwa ni ujinga sana kufanya uharibifu wa vitu mnavyovitumia wenyewe...