kituo cha mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Vyoo Kituo cha Mwendokasi Kivukoni vyaanza kukarabatiwa baada ya kuripotiwa kusitisha huduma kwa kipindi kirefu

    Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za vyoo zilikuwa zimesitishwa, hali iliyowalazimu baadhi ya watu kujisaidia haja ndogo katika korido...
  3. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Mwendokasi cha Magomeni chachomwa moto

    Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele. Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga. Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio...
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Niko kituo cha mwendokasi hapa Korogwe, ndani ya lisaa zimepita gari 3 tu

    Moja la Morocco Moja la Mbezi-Gerezani Moja la Kimara-Gerezani Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10. Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Licha ya makusanyo makubwa, hali ya Vyoo vya Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho inasikitisha

    Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea. Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vurugu patashika nguo kuchanika Kituo cha Mwendokasi, Kimara nyomi la watu wakigombania kupanda basi

    Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama. Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Taa za kwenye Kituo cha Mwendokasi-Gerezani hazifanyi kazi, abiria tunatumia tochi za simu kwa ajili ya usalama

    Licha ya kero mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa na Wananchi wenzangu kwa nyakati tofauti kuhusu Mwendokasi, lakini kuna kero ambayo imejitokeza kwa zaidi ya wiki sasa na haijapatiwa ufumbuzi wa haraka. Katika kituo hicho kumekuwepo na malalamiko ya Wananchi kuibiwa simu zao na kuporwa...
Back
Top Bottom