binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 8,904
- 22,292
Hata mimi nilitaka kuitaja zambia sababu ndio nchi walau tunaendana kiuchumi, Lungu katuzidi sana, stendi yake biashara zote ziko kwenye fremu kubwa na vifremu vidogo, hakuna bidhaa iliyomwagwa chini wala vimeza meza. Highway yao ya kutokea huku kwetu hakuna banda la turubai utaliona linapepea pembeni mwa barabara, na sehemu za biashara zote highway ziko mita kadhaa kutoka barabarani. Angalau ndicho nilichokiona kwa mwaka huo 2018 nilipokua hapo sijui kwa sasa.Waende wakajifunze hata nchi za jirani
Basi,Waone wanavyoweka mfumo wa wafanyabiashara wadogo wadogo
Waende angalau Lusaka pale kwenye bus terminal yao wakajifunze...
Huwezi kujenga standi ya garama alafu ukaruhusu mambo ya ovyo ovyo, utaratibu zero
Siku zote nasema exposure, exposure, exposure kitu muhimu sana
Ova
Nani sasa awaguse wakati mwendazake aliamuru wasiguswe waacheni tu mapaka watakapo oona kero ndio watawatfutia sehwmu nyingine....View attachment 1754433
Huna hoja ya msingi unajikan'gatan'gata tuuUkiona wamachinga wanauza vitu barabarani katikati kuna watu wameshindwa kuwajibika.... kila kitu kinakua sawa kama utaratibu upo na unafuatwa
Labda uniambie shida yako ni kwamba hutaki kuwaona binadamu wanaoitwa wamachinga sababu walipewa kipaumbele na JPM
Maana binadamu mkianza ubaya hamkosi sababu
Nadhani wanavutiwa kasi tuHawa machinga mimi nashauri waondolewe hata katika ya miji mikubwa wao watafutiwe sehemu nyingine. Machinga wamekuwa kero kubwa
Ww si mstaarabu sababu unatumia jina la JPM vibaya kuhalalisha hoja zako za uvuguvugu.
Kwani nikuulize, wamachinga kutolewa barabarani na wakawepo sehemu zao kuna uhusiano gani na chuki au mapenzi kwa JPM?
Sio wewe uliyekubali kuwa sehemu walipojazana wamachinga barabarani viongozi hawawajibiki?
Mkuu unapoteza nguvu nyingi kumwelewesha huyo mataga,huyu bado hajarudishiwa akili zake so utakuwa unamuonea bureWw si mstaarabu sababu unatumia jina la JPM vibaya kuhalalisha hoja zako za uvuguvugu.
Kwani nikuulize, wamachinga kutolewa barabarani na wakawepo sehemu zao kuna uhusiano gani na chuki au mapenzi kwa JPM?
Sio wewe uliyekubali kuwa sehemu walipojazana wamachinga barabarani viongozi hawawajibiki?
Hapana nilikuwa nawashauri tu.
@mama D utaacha lini unafiki?
Hakuna kituo kibaya kama cha Magufuli, mara mia turudi ubungo.
Hakuna sehemu ya kula..siku nimewahi asubuhi natafuta sehemu ninywe chai sikupata, wamejaa mama ntilie walioweka vyakula kwenye ndoo.
Kwenda toilet...vyoo vimejaa tumepanga foleni. Nilikereka sana
Mmh haya tusubiri, ila wale machinga mle ndani wapunguzweNilipita pale wiki2 zilizopita nikaambiwa vyakula haviruhusiwi kuingizwa kituoni kwa sasa ila vinapatikana upande wa pili wa kituo
Pia niliambiwa ujenzi unaendelea... na ukikamilika kila kitu kitakua sawa
Sasa mtu aliyeweka vitunguu katikati ya barabara unaboresha vipi hayo mazingira? Tutanue barabara. Embu tuishie hapa tu ww nshakuelewa ni binadamu wa aina gani.Kwahiyo suluhu pekee uliyoiona wewe ni kuwaondoa?
Kwanini usiwaze kuboresha?
Unatakanwapelekwe sehemu zao zipi?
Ile machinga complex unaijua? Kwanini ilishindikana kufanyia biashara??
Acha unafiki kutafuta kuwatesa wamachinga... na kama huwezi fikiria maboreshochanya heri uache kuhamasisha kuwaumiza wengine
Mmh haya tusubiri, ila wale machinga mle ndani wapunguzwe
Wawepo ndani na nje lakini kwa utaratibuYani hapo ndio tunakosea.. Kuna vitu vinaitwa uongozi.. Hao wafanya biashara wadogo si wajengewe sehemu yao nje.. Tunaendekeza sana hizi tabia yani kila sehemu wametandaza biashara
Kusema Wamachinga waachiwe kwenda kutandaza bidhaa za Airport ni kuwaumiza?Ushauri wa kuumiza wengine kwa kujifurahisha wewe
Sasa mtu aliyeweka vitunguu katikati ya barabara unaboresha vipi hayo mazingira? Tutanue barabara. Embu tuishie hapa tu ww nshakuelewa ni binadamu wa aina gani.