Kituo cha ITV, kwa hili nimewashusha

Mzee mi mwenyewe nilikuwa naangalia, Ila nikasema labda ni coincidence tu, Ila ilipofika Al Jazeera wanarudia habari kwa kifupi, walipofikia ya Tanzania walikatisha tena
Walikatisha hata ule muhtasari Aljazeera walipoitaja Tanzania. Ila walisahau kule chini Aljazeera wanapitishaha yale maandishi ya habari zao, Tanzania iliandikwa pia
 
Walikatisha hata ule muhtasari Aljazeera walipoitaja Tanzania. Ila walisahau kule chini Aljazeera wanapitishaha yale maandishi ya habari zao, Tanzania iliandikwa pia
🤣 🤣 🤣 🤣
 
majuzi Kati nilikuwa nasikiliza radio free pale wanapojiunga na dw,mada ilikuwa corona hapa tz,ebwana mada ilipamba Moto wachangiaj nikama walikuwa wanainyoshea kidole tz,sio mda wakakata mawasiliano nakuweka ule wimbo wa "unakitambi nikikupa utawezana"
 
Nilifikiri ni mimi peke yangu niliyoshangaa kumbe wengi tu. Nami baada ya vichwa vya Habari Al Jazeera saa sita mchana nikavutiwa!cha ajabu ktk huwa wakimaliza sehemu ya kwanza wanatoa tena muhtasari wa Habari zifuatazo basi hapo ilipofikia habari ya Tz na corona sauti ikashushwa!nikashangaa..nikaendelea kusubiri zikasomwa taarifa nyingine ilipokaribia sasa Habari kamili kuhusu Tz kile kipindi kikakatishwa hapo hapo na si kwamba habari ilitolewa ni kwamba kipindi cha Al Jazeera kikakatwa palepale!wakaleta kipindi cha kilimo!
Kweli itv hata Mimi leo nimewashangaa sana na cha ajabu wao kila siku saa mbili wanatangaza habari za update ya corona nchi nyingi pamoja na za east Africa huwa najiuliza huku ndio tulipofikia? Magazeti yameshakufa kwa style hizo Naona sasa local tv news zote zinaenda poteza mvuto soon
Huenda ndio kisa wengi siku hizi tunafuatilia Dw , BBC ,Al Jazeera na idhaa ya America.
 
Watu Wa kanda ya nyonyo hawatakiwi kupewa nchi, wana ushamba mwingi wizi ubabe, utendaji zero, exposures zero.
Mnatakiwa mjifunze.
watawala ni kutoka pwani na kanda ya ziwa.

pwani - mwinyi,kikwete na mkapa
kanda ya ziwa - nyerere,magufuli alafu kinakuja chumakingine cha kanda ya ziwa bashiru ally a.k.a mao setung.
 
Kwa kukatisha BBC sawa tu yani hata mtu uwe unapenda kukosolewa hawa BBC wamezi hawaoni lilijema hapa tanzania bora hata wale VOA swahili na DW kidogo BBC ni washenzi kabisa
Tushazoea manake tangu siku mingiii kituo cha radio "Radio One" huwa wanakatiza habari za BBC swahili asubuhi ama jioni endapo inajadiliwa mada ihusuyo Tanzania.
 
watawala ni kutoka pwani na kanda ya ziwa.

pwani - mwinyi,kikwete na mkapa
kanda ya ziwa - nyerere,magufuli alafu kinakuja chumakingine cha kanda ya ziwa bashiru ally a.k.a mao setung.
Acha porojo mataga
 
Acha porojo mataga
bashiru ally prezidaa alafu mashinji pm.
kipindi hicho mdee na bulaya pesa za ubunge zimeisha wanadanga mjini.washkajiji wanabuluza tu,unashikamkono unapiga mashine ukimaliza unamtoa buku shingsaba anasepa.atuna mudamchafu wa kuweka kambi ni kupasha viporo tu.
 
Naona Mnataka tufe na mnafurahi sana watu wakifa..

Mbuzi ww
 
Ukweli ni kuwa hakuna tena vyombo vya habari kwa sasa Tanzania.Ninaongelea zaidi hizi traditional media kama radios na TVs.Kwa sasa kuna uharo tu.Full stop.
 
Hizo local channels wengine tulishaacha kuziangalia maana hakuna habari zaidi ya ukasuku
 
Kabisa,hapa umenena.
 
H
Hapo ndio ujue hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini . Hapo anaogopa.kuambiwa amerusha matangazo yaliyo na mahudhui ya uchochezi.
Ilikuwa superbrand sasa inaenda kushushwa hadhi inazidiwa na startv sasa kwa kujiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…