Kituo cha Afya Fore Plan Clinic chafungwa

Duh! Watu wengi sana watakufa njaa mwaka huu. Pia black markets zitaongezeka. Atakachofanya Dr Mwaka, atakuwa anatibu wateja wake undercover. Si contacts anazo? So serikali bado haijaweza kwenye hilo...
 
Chini ya uongozi wa jK kila kitu kiliwezekana teh.

Naam, na hivyo ndivyo uongozi unatakiwa uwe.

Si kubania bania kila kitu.

China kuna mpaka vyuo vikuu vya tiba mbadala tena vingine ni vikubwa kuliko chuo chochote cha hapa kwetu.

Kama mwaka ana tiba mbadala na inawasaidia watu, sioni sababu kwanini afungiwe?
 
Sababu za kumfungia zipo. Anatoa tiba ya kisasa wakati kibali chake ni cha tiba mbadala na anajitangaza hovyo (bila utaratibu) kinyume na sheria hiyo ya tiba mbadala.
 
Kigwangala amesota darasani miaka kadhaa hana Range Rover yenye plate namba ya jina lake kama Mwaka,nani atakubali
 
Magu atabana vyema...si kuachiachia hovyo kama m.kwere hata ikulu unaachia tu utadhan mtu umerogwa....hovyo sana yule mzee
 
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!

Hahaha😂😂😂😂😂kwa hali hiyo hata shughuli za uzalishaji zinasimama hahaha pole dogo
 
Magu atabana vyema...si kuachiachia hovyo kama m.kwere hata ikulu unaachia tu utadhan mtu umerogwa....hovyo sana yule mzee

Magufuli na Kikwete wote wanafata sera na ilani ya CCM. Hakuna aliye juu ya chama labda hilo ni huko chadema, ambako tumeona mtu akinunua ugombea Urais.

Magufuli katangaza wazi kabisa, mwekezaji anaecheleweshwa basi yule anaemchelesha hana kazi. Ndiyo kubana huko? Fikiri.

Nnakushauri uisome ilani ya uchaguzi ya CCM utafaidika unapoona maamuzi ya Magufuli kuwa si ya kukisia ni mkakati maalum uliopangwa kitaalam kabisa.

Soma upate faida na si kuja na kubwabwaja na kuhororoja bila mpango: ILANI YA CCM 2015-2020 - HABARI ZA SIASA
 
Sababu za kumfungia zipo. Anatoa tiba ya kisasa wakati kibali chake ni cha tiba mbadala na anajitangaza hovyo (bila utaratibu) kinyume na sheria hiyo ya tiba mbadala.

Kama anakiuka sheria inabidi afate sheria.
 
Kama anakiuka sheria inabidi afate sheria.

Na sio kwamba hajui kuna legal provisions zinazo ratibu wapiga ramli, acha kituo kifungwe amevunja sheria kwa kukusudia,
 
Attachments

  • 1450256621624.jpg
    58.2 KB · Views: 379

Ukiwa rafiki na sheria za nchi haya yote yasinge mkuta, no one is above the law kabah
 
Kilichomponza DR mwaka hiki hapa => alikuwa ameanza tabia za kuwavuta nguo zote Wanawake kisha kuwachungulia sehemu za Siri kwa kisingizio kuwa anachunguza maradhi na kupitisha vipimo kujua yaliyomo ndani, inasemekana mmojawapo ni mke wa kigogo na baadhi ya Wanawake wajanja wa mjini wengi kawafanyia huo Udhalilishaji ndiyo maana kigwangala kaamua kuzaa naye.
 
Duh! Watu wengi sana watakufa njaa mwaka huu. Pia black markets zitaongezeka. Atakachofanya Dr Mwaka, atakuwa anatibu wateja wake undercover. Si contacts anazo? So serikali bado haijaweza kwenye hilo...

Kilichomponza ni kuwafunua nguo za ndani wake za watu kwa kisingizio kuwa anawapima ugumba, UTI na magonjwa ya zinaa
 
Vituo hivyo vipo vingi sana wengine wapo Kinondoni na wengine wapo Mbezi nk tatizo lao kubwa ni bei za Dawa pia Tabia ya kuwadhalilisha Wanawake kuwavua nguo kwa kisingizio cha kuwapima magonjwa ya zinaa
 
Nazidi ishangaa tanzania kwakweli mizizi ya kichina tunaitumia mizengwe ya loliondo tunaikubali ila dawa za mwaka hazijasajiliwa waache utani hawa jamaa mwaka hawez kuwa hajasajiliwa unless watuambie alisajiliwa bila vigezo ila naona personal interest hapa
Waziri aje kutatua matatizo hku mikoani hospital kibao xray na ultrasound hazifanyi kazi...wafanyakazi hawapati staili zao ukidai unazungushwa tu na mikoani ndo kuna uozo bora hko dasalama...hku ela unayo bt huduma hupati unadhan tutaacha kuwatafuta kina mwaka?
 
Vituo hivyo vipo vingi sana wengine wapo Kinondoni na wengine wapo Mbezi nk tatizo lao kubwa ni bei za Dawa pia Tabia ya kuwadhalilisha Wanawake kuwavua nguo kwa kisingizio cha kuwapima magonjwa ya zinaa
Haaaaa kwani sasa unapimaje ugonjwa unaohitaji kupata specimen hasa kutoka kwenye vagina?
Mjue tunaongea tu ila sababu kubwa ya huduma za afya kuwa na gharama ni gharama kubwa inayotolewa na vyuo vya afya acha vle vya serikali ambavyo wanapata nafasi wachache lazima watu waende private af mnategemea wauze dawa elf 2 eeeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…