Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,619
Mbona van damme alikua anazipiga Sana, au tulikua tunaongopewa?Computer simulation, you can not make 180 degrees like that!
Muscle/ligament za kwenye maungio ya mapaja haziwezi kuruhusu that much flexibility, anyway labda mazoezi toka utotoni!
Hii kitu inawezekana kwa girls tuu ila kwa sisi wanaume lazma uwe umeanza mazoezi toka ukiwa na umri mdgo sanaComputer simulation, you can not make 180 degrees like that!
Unaujua mchezo wa YOGA ..... Fanya kugoogle ...urudi na majibu hapa...yanatendeka zaidi ya hilo poziMuscle/ligament za kwenye maungio ya mapaja haziwezi kuruhusu that much flexibility, anyway labda mazoezi toka utotoni!
Watu wanapiga sana mkuu hizo ... mazoezi tu ukiwa nayo unachanuka tu msambaMuscle/ligament za kwenye maungio ya mapaja haziwezi kuruhusu that much flexibility, anyway labda mazoezi toka utotoni!
Even with yoga exercises?Computer simulation, you can not make 180 degrees like that!
Yoga ndio nini mkuuUnaujua mchezo wa YOGA ..... Fanya kugoogle ...urudi na majibu hapa...yanatendeka zaidi ya hilo pozi
Computer simulation, you can not make 180 degrees like that!
Ni mshamba Sana tena popoma hujui Yoga au ni tineja