kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.
Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?
Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.
Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.