kweli nchi inapitia kwenye hali ngumu saaana, pinda si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa mafisadi, pm muoga ka kunguru analialia tuuuuu, jamani tuikomboe hii nchi otherwise tutaangamia milele.
Imekaa pouwa sana hiyo! Cheers!Lowasa alikuwa ni simba anayeongoza kundi la kondoo, ilhali pinda ni kondoo anayeongoza kundi la simba
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
...Si ndio huyu aliyedai kuwa walioiba fedha za EPA kule BoT ni watu wa kuwaogopa maana ni hatari kwa hiyo kuwafatilia si jambo rahisi!!?? naona naye ni ziro fulani tu hana lolote!Kwani hukumjua kwamba ni crying baby?