Kituko kingine cha Pinda

Kituko kingine cha Pinda

Tusimlaumu Pinda tu wa kujilaumu ni sisi wenyewe tu kwanini tunaipitisha kila baada ya miaka 5 hicho ndicho cha kujiuliza!!!! tukiwatoa madarakani ujue haya tunayolalamikia hayataisha kamwe. Cha kujifunza ni kwamba tangia nchi ipate uhuru haijawahi wekwa heshima nchi hii kwa Kiongozi kuwajibishwa na wananchi....Ndio maana kila mwaka wanafanya madudu yake yale tu na hata hawaogopi.
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.

Mkuu acha kubwabwaja!!

Ebu soma kazi za CAG kisheria kama zilivyoanishwa na sheria ya masuala ya fedha (Public Finance Act Number 6 of 2001; ingawa ilifanyiwa marekebisho mwaka 2004, na sasa hivi nafikiri itafanyiwa marekebisho. Lakini marekebisho yote hayajabadili majukumu ya CAG); kupitia Part IV - C, sections 30 and 31!!
Kwenye iyo sheria sijaona pale ambapo CAG ana wajibu wa kumweleza PM au serikali namna gani ya kuwawajibisha wezi wa fedha zetu!! Kazi kubwa ya CAG ni kutoa taarifa/ripoti za masuala ya fedha za umma.

Pia angalia hata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, sura ya 7, sehemu ya 2, kifungu cha 143, majukumu ya CAG yamewekwa wazi kabisa. Na sijaona unayoyasema mkuu!!!
 
Attachments

Vilaza wako wengi tu humu Tz! Ndo maana hatuendelei!
 
Nani kakwambia Tanzania tunawaziri mkuu,hii nchi haina waziri mkuu,bali tuna mtu anayefikiria kwa kutumia makamasi,kirizi kila wakati,mlopokaji,hapendi kusoma,anaamini uongo kuwa ukweli na chama chake cha magamba,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
 
Ilitakiwa iwe hivi:

1. Kwamba wezi wa fedha za umma wawe wanaweweseka kila pale hicho kitabu cha ripoti ya CAG kinapotoka! Lakini hali si hivyo wezi huwa hawashtuki kabisa kwa sababu wanajua hakuna chombo chochote -- polisi, Takukuru n.k. kitawafuatilia.

2. Hiyo ripoti ya CAG iwe inangojewa kwa hamu na Takukuru na nakala ya kwanza iwe inapelekwa huko kwa ajili ya maandalizi ya kuwaandalia mashitaka watuhumiwa baada ya uchunguzi.

Anachofanya Pinda ni spinning tu kwani anataka tuamini kwamba Watz ni vilaza kwamba waamini kuwa wezi hawafikishwi mahakamani kwa sababy CAG hajatoa mwongozo ulio mzuri hao wezi wafanyweje.
 
Nchi hii inahitaji aina mpya ya viongozi kama kweli tunataka kuendelea. pinda na niseme style ya ccm ya kuongoza ni ile ya toothless dog na uungwana usio na matokeo yenye mashiko[impact]. wanabweka lakini hawana meno yoyote ya kuuma. mimi simkubali pinda kama kiongozi anayeweza kudeliver. he is too diplomatic hata kwa jambo analoweza kuchukua hatua. hatuhitaji very nice leaders but leaders who can deliver. kwa mtindo wa pinda na rais wake kutaka kuonekana nice leaders na kujifanya professional leaders na maneno matamu kwenye hotuba zao yanayoonyesha kwamba wako focused kumbe siyo, hatutaendelea na nchi hii italiwa na wenye meno mpaka iishe.mimi namkumbuka lowasa walau kwa staili yake ya kuongoza, performance based leadership! wako wapi viongozi wanaoconfront mambo kama sokoine? wako wapi viongozi wasioogopa kama dr slaa?
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Wewe unaelewa kuwa wahasibu na wakurugenzi wanaofuja pesa za halimashauri huwa wanahamishwa wilaya au manispaa?! Hvyo pinda hana lolote bado hajajua awapeleke wapi watu hawa.!
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.

Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?

Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.

Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.

Hii ni hatari kwa nchi yetu!
Kama tuna Waziri Mkuu asiyejua kwamba wanaofuja fedha za walipakodi na zile za serikali wanapaswa kukamatwa na kufunguliwa mashitaka (NA KUWAFUKUZA KAZI MARA MOJA) basi hatuna mtu pale!!!
Huyu jamaa anatia aibu na ni mzigo kwa Taifa!
Sitashangaa kesho kusikia hajui anaishi wapi....
 
Pinda anaelewa kila kitu ila kisha pindishwa. Na kama ni kazi ya CAG kujua ni hatua gani mafsadi wanachukuliwa je ilikuwa kazi ya nani kujua waziri Nahodha anaishi hotelini? Maskini Tanzania. Kila mtu hajui...raisi naye hajui kwa nini TZ ni maskini ilhali ina kila kitu!
 
Anachofanya ni kuvuta muda tu, kwani wezi hatua muafaka ni kuwashtaki tu, ushauri gani anataka?
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.

Mkuu iuna tofauti kubwa sana kati ya kumshughulikia mwinzi na kuzuia wizi

Pinda ame-refer wezi, wewe unaangalia udhibiti wa wizi

Pinda needed to consult law enforcement agents
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.

Kiutendaji, Auditor (Mkaguzi) hawezi akamshauri mteja wake namna ya kuendesha mambo yake. Kama CAG akiishauri serikali namna ya kuzuia uizi, inamaana CAG kesho hataweza kuja na kujikagua kazi yake mwenyewe.

Ukienda kinyume na haya, unapata mambo yaliyotokea kwa Enron na mkaguzi wake Arthur Anderson (Wote wamekufa sasa hivi pamoja na kuwa yalikuwa makampuni makubwa kuliko yote duniani.)
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.
ni mgonjwa so nahisi amepungukiwa na vitu kichwani
 
Lowasa alikuwa ni simba anayeongoza kundi la kondoo, ilhali pinda ni kondoo anayeongoza kundi la simba
kweli nchi inapitia kwenye hali ngumu saaana, pinda si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa mafisadi, pm muoga ka kunguru analialia tuuuuu, jamani tuikomboe hii nchi otherwise tutaangamia milele.
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.

Ha haa haaa!!! Pinda usinichekeshe! Ina maana CAG akisema kwamba hawa Wafujaji wafanyiwe sherehe ya kupongezwa, Serikali ya Magamba itawafanyia Sherehe!

Ina maana hakuna Sheria yoyote inayotaka Mwizi wa mali ya Umma kufikishwa mahakamani! Au Pinda unaogopa kurusha jiwe kwenye nyumba ya jirani kwa kuwa unajua kwamba hata wewe kwa sasa unaishi kwenye nyumba ya Vioo!

Tunajua kwamba wewe ni Joga. Lakini kaa kimya usitetee ujinga umeshakushushia heshima. Bakiza hata hiyo heshima kidogo iliyobaki kwa Mkeo na wanao!

Hatujawahi na hatutawahi kuwa na Waziri mkuu Joga kama hili!
 
Tunahitaji watu wenye kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu,mbona enzi ya mwalimu
na Waziri Mkuu Sokoine wahujumu uchumi walikamatwa na kufungwa?wengine kwa kiwewe tu hata mali walizitupilia mbali
kwa hofu tu ya kukamatwa,hata waziri mla rushwa enzi zile alitandikwa viboko.Nchi imekosa maadili na mwelekero na uzalendo hakuna.
Mi naona magereza ni kwa ajili ya maskini tu.
 
Back
Top Bottom