Kituko:Hatuna Shida na NAPE bali Mbowe na Lema-POLISI

Kituko:Hatuna Shida na NAPE bali Mbowe na Lema-POLISI

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Kauli za Mbowe na NAPE ziko sawa.
kila mmoja anadai kujua wahusika wa Bomu lakini chagonja ameimabia radio one leo kwamba wao Polisi hawashughuliki na kumtafuta NAPE bali Mbowe.
Katika hili hata mtoto mdogo anaweza jua kilichopo nyuma ya pazia
 
chagonja jawezi kuwa mzima na mwenye akili timamu hata kidogo...ila kuna siku itafika tu ...kwani Libya ilikuwaje bana..kuna mtu alikuwa anaogopwa kama ghadafi?lakini mwisho wa siku walimshindilia mpaka mijiti matakoni
 
Vingozi wengi wa CCM ni wagonjwa wanatumia RVs
 
chagonja jawezi kuwa mzima na mwenye akili timamu hata kidogo...ila kuna siku itafika tu ...kwani Libya ilikuwaje bana..kuna mtu alikuwa anaogopwa kama ghadafi?lakini mwisho wa siku walimshindilia mpaka mijiti matakoni

siye wengine hatuna vyama wala mlengo wowote lakini hali inavyokwenda unaweza jikuta umechagua upande.
kwa sababu inaonesha wazi kwamba CCM inabebwa mno na hata pasipostahili kabisa.
sijui polisi hawaoni hilo
 
Kwani Mbowe alikuwa akitafutwa kwa kauli yake ya kwamba ushahidi upo au kwa kuwa alijumuika kwenye mkusanyo usio na kibali cha Polisi?
 
"on his master's voice"

Ukiunganisha na ile kauli ya Nkhamia.....we now know who the real "dogs" are

250px-His_Master's_Voice.jpg
 
Kwani Mbowe alikuwa akitafutwa kwa kauli yake ya kwamba ushahidi upo au kwa kuwa alijumuika kwenye mkusanyo usio na kibali cha Polisi?

jana hukutazama news za tv? anatafutwa ili- alete -mkanda wa video
 
na sina uhakika kama wote walioongea huwa wana muda wa kukaa na kufanya reflection ya waliyoyasema, na sioni kama kuna hata mmoja kati yao anayeweza kuongea kitu at global level zaidi ya kusema kuwa hawajui ni kwa nini Watanzania ni masikini!
 
Tanzania nchi ya ajabu sana
 
Hawana shida na Nape kwa sababu anachosema hakimtishi mtu yeyote hata mtoto wa chekechea anajua huu ni uzushi , ila kinachosemwa na Mbowe kina madhara makubwa kwa mafisadi na policcm ambao wanajua hivi karibuni kutapambazuka na uhuru wa kweli utapatikana na wao hawatakuwa na mahali pa kuficha nyuso zao. Wakati ni ukuta. Polisi wa TZ wamekuwa waongo hadi wanakera, bomu la kanisani walisema limerushwa na Ambrose mwendesha bodaboda wakawaachia wahusika, Daudi Mwangosi kapigwa na kitu kizito, Dr Ulimboka kateswa na Mkenya, Mhariri Kibanda kateswa na Lwakatare, bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CDM lilirushwa na wanaCDM wenyewe, hivi hii ni akili kweli. Halafu eti wapo kwa ajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Hawa wapo kwa ajili ya maslahi ya kikundi kidogo cha waTZ wanaowamiliki.
 
jana hukutazama news za tv? anatafutwa ili- alete -mkanda wa video

Kwa hilo nilisikia kuwa kapewa options, kama haliamini Jeshi la polisi basi anaweza kuwasilisha ushahidi wake huo Ikulu kwa Amri Jeshi Mkuu...
Kwa mantiki hiyo sidhani kama hapo kulikuwa na order ya kutiwa nguvini ili kuwasilisha ushahidi...
 
Chagonja rudisheni f3dha mlizoiba wewe na mkeo kwa ajili ya rushwa kuwaingiza watu polisi na uwt.
 
chagonja anamuogopa nape ni boss wake kwani hamjajua kuwa kwa sasa tumerudi enzi za chama kushika hatamu.
 
Back
Top Bottom