Kituko cha mchana wa leo

Kituko cha mchana wa leo

asubiri adhabu yake, unadhani huyo jamaa aliyeachwa hotelin ameridhika na hicho kitendo? Mwambie huyo rafiki yako asipojiepusha mapema na huyo dada ajue shari inamgoja
 
Kwa arusha chochote kinaweza kumtokea huyo rafiki yako; jaribu kumfuatilia mwambie aachane na huyo mama; arusha siyo salama sana.
 
inawezekana huyu mwanamke amemuibia huyo mjamaa aliyemuacha ndani so anampotea kijanja.
 
Naamini weekend inaenda
poa.

Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo
ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki
yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka
kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi?
jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke
akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na
kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.

Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule
mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye
alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.

Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??

Mchana mwema.!

si wote maana mm gari chini ya mil 100 kawaida halinitishi maana wana njaa mpaka mafuta nisheeeeda
 
Niliposema gari sikuwa na maana ya kuonesha aina gari ya thamani kubwa, ila unajua bei yake? Nenda Toyota ukaulize.Watu wanashobokea vitz sembuse Land Cruiser! Kila mtu ana grade na interest yake.



Nikadhani magari ya gharama kumbe cruiser?Sawa basi tumejua rafiki yako ana gari
 
Usione mtu miss ukafikiri na akili yake ni ya kimiss,
na huyo unayesema ni mafia kuna mafia zaidi yake
Nitamtafuta kesho anipe mrejesho ila sina shaka naye,huyo mwanamke mwenyewe umbo la kimiss,na rafiki yangu ni mtoto wa mjini na ameshaishi nchi kibao so aina nyingi za uhuni na umafia anazijua.
 
Naamini weekend inaenda poa.

Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.

Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.

Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??

Mchana mwema.!

Mwenye matatizo hapo ni mwanaume... unakurupukaje tu na kumpa lifti mtu tena anakimbia mpenziwe?
 
Naamini weekend inaenda poa.

Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.

Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.

Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??

Mchana mwema.!
Hii habari haina mashiko hapa. Kwanza haituhusu. Inatusaidia nini habari kama hii? Umekurupuka tu, ukaanza kutype bila kujua mantiki ya unachotaka kuandika. Isitoshe umeandika habari za umbeya ambazo hujazifanyia utafiti. Labda wanawake wa ngaramtoni ndio dhaifu kwenye magari. Wanawake wa Dar hawana ushamba kama huo wa ngaramtoni huko arusha. Siku nyingine tuliza ubongo wako kabla hujaanza kuandika bandiko lako hapa JF. Hakikisha bandiko lako lina mashiko na hoja ya msingi.
 
Asante,kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni ndio maana free forums,vipi mbona umeandika kwa hisia kali sana wewe ndio huyo mwanamke aliyeomba lifti au wewe ndio yule jamaa yake uliye achwa hotelini.

My take hii sio stori ya umbea,lengo ni kuona kwa jicho kingine kwamba mpaka leo bado kuna watu wanatafuta urahisi wa maisha kwa kupenda kuomba lifti,japokuwa wapo na wepenzi wao. Kama hukupenda hii thread nadhani ungepita kimya kimya huo ndio uungwana,JF na MMU haipo ka ajili ya watu wa DAR tu,heshimu pia mawazo ya wengine..!!


Hii habari haina mashiko hapa. Kwanza haituhusu. Inatusaidia nini habari kama hii? Umekurupuka tu, ukaanza kutype bila kujua mantiki ya unachotaka kuandika. Isitoshe umeandika habari za umbeya ambazo hujazifanyia utafiti. Labda wanawake wa ngaramtoni ndio dhaifu kwenye magari. Wanawake wa Dar hawana ushamba kama huo wa ngaramtoni huko arusha. Siku nyingine tuliza ubongo wako kabla hujaanza kuandika bandiko lako hapa JF. Hakikisha bandiko lako lina mashiko na hoja ya msingi.
 
Unamwacha rafiki yako anaingia kwenye mtego wa jambazi kirahisi hivo!

yani kwa akili ya kawaida anazani mwanamke kashobokea gari.....nadhani afwatilie ajue rafiki yake kama yuko salama mana matukio mengi siku hizi......wanawake wanahusishwa......
 
Back
Top Bottom