Kitu tiiii!!

Kitu tiiii!!

Zimba

Senior Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
113
Reaction score
14
Ndo nishatinga hivyo, wanajamii tushirikiane seriously. Kitu tiiii mpaka ndani ya jf.
 
warmly welcome ila jitahidi kutochafua hali ya hewa humu.................
 
ndo virus wa ccm nini? kimeingia ulikuw wapi mda wote huo! au ndo ulkua u-18
 
Ndo nishatinga hivyo, wanajamii tushirikiane seriously. Kitu tiiii mpaka ndani ya jf.
Mbona ulichelewa kupiga hodi? Utabishaje hodi ukiwa na posts 15?? Siku nyingine ujifunze kubisha hodi kabla..
 
Ndo nishatinga hivyo, wanajamii tushirikiane seriously. Kitu tiiii mpaka ndani ya jf.
<br />
<br />
kiswahi kinanichanganya, ok! Karbu sana. Ila maneno yako??!
 
Back
Top Bottom