Kitu kilikata network nini?

Kitu kilikata network nini?

Nyie mnamtania raisi wetu hamjui yeye ni handsome

Uhandsome ndo unampa ticket ya kutotaniwa?

He wanna act fashionable he got to do it right or else fashion police are gonna blast him through and through :]
 
Huyo jamaa hapo nyuma ya mkuu wa kaya mwenye kaunda suti ya kahawia/brown ni nani? Maana mdau huyo kila trip ya mkuu wa kaya namuona yupo mitaa hiyo hachezi mbali au ndo wale wale UWT??

Salva huyo mkuu
 
ingevaliwa na cdm ungekuwa na la kusema.

Wanapendeza na magwanda yao. Wananikumbusha zamaani, kulikuwa kuna matarishi na watu wa posta walikuwa wanavaa namna ile. Uliza waliokuwepo 60's watawakumbuka.
 
Watu bana...what is wrong with what he has on? And who sets the standard for getting it "right" when it is highly subjective anyway? SMH
 
Hao walioonekana kwa sura zao vizuri wote ni wasimamizi wa usalama, mpambe nyuma na azi la kijeshi na suti ya brown ni... wao wa na kijana aliye na suti nyeusi ya kung'aa nadhani niemmsomeka
 
Majengo mengine ukizama ndani hupati net, na wakati mwingine kuna mtu alikuwa anarusha signo halafu hawaipati vema
 
Back
Top Bottom