Kitu gani utakifanya endapo ukipata hela

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
198
Reaction score
482
Habari wakuu!!

KARIBU kwenye mada yetu ya Leo,

Katika maisha kila mtu anakitu au jambo fulani ambalo wengi wetu tunatamani kufanya Leo nataka tujuzane au tufundishane kuhusu hilo na pia tushauriane.

Kama kuna mtu utashare nae ndoto basi tupeane connections ili tuweze sote kufikia huko, Kumbuka kila unaekutana nae basi kuna kitu anakijua ambacho wewe hukijui.

Mimi binafsi ndoto yangu ni kukununua Gari aina ya Tesla model S kwenye kampuni inayomklikiwa na Bilionea Elon Musk.
twarren_08202017_1939_0003.0.jpg
 
Subiri nizipate nitarudi na jibu.
 
watu mnapendea nn hzo gari za chini?? yaan mm gar yyte ya chini sjawahi kuikubali labda kwa sabab ya urefu wangu. yaan hz mark X,brevis,BMW X1,Allion,Premio, Baadhi ya AUD na nyngnezo kama hzo yaan sizielewag hata ziwe na bei gan mm walaa.....hasa hz barabara zetu ya ukiwa na gari ya chini tabu tupu makorongo mengi kila mda gar inagusa chn dadeQ

Gari nzur kwangu mm n ile iliyo juu mfano Prado Tx, Landcruiser VX V8,DISCOVERY 4, Range,n.k
 
Mimi napenda ya juujuu ila mpaka leo sielewi BMW X6 ni lajuu au lachini hili gari nikiliona linani inspire sana kisaka pesa.
 
Mtoa uzi ......nkizipata mi ni dada yako tu ndio bado sijampigisha kwata ................
 
Narudi kijijini kwetu au sehemu nyingine ya kijiji ambacho angalau kina miundo mbinu najenga huko makazi mazuri sana ya kuishi na nina hamia huko...hakuna maisha mazuri kama ya kijijini iwapo utakua na uwezo wa kuweka makazi mazuri na masafi
 
Mimi pesa hio najenga nyumba ya 500M, gari za 200M mbili nyumba nawezesha wazazi na wadogozangu, nymba za kupangisha kdhaa nakula bata sana, then 6B naweka UTT, FIXED nakula pesa nikiwa nimelala mpaka nakufa.
 
watu mnapendea nn hzo gari za chini?? yaan mm gar yyte ya chini sjawahi kuikubali labda kwa sabab ya urefu wangu. yaan hz mark X,brevis,BMW X1,Allion,Premio, Baadhi ya AUD na nyngnezo kama hzo yaan sizielewag hata ziwe na bei gan mm walaa.....hasa hz barabara zetu ya ukiwa na gari ya chini tabu tupu makorongo mengi kila mda gar inagusa chn dadeQ

Gari nzur kwangu mm n ile iliyo juu mfano Prado Tx, Landcruiser VX V8,DISCOVERY 4, Range,n.k
Gari gan unaikubali sana
 
Back
Top Bottom