Drop shipping Tanzania
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 198
- 482
- Thread starter
- #21
Saka mkwanja mkuu uchomoke naloMimi napenda ya juujuu ila mpaka leo sielewi BMW X6 ni lajuu au lachini hili gari nikiliona linani inspire sana kisaka pesa.
Saka mkwanja mkuu uchomoke naloMimi napenda ya juujuu ila mpaka leo sielewi BMW X6 ni lajuu au lachini hili gari nikiliona linani inspire sana kisaka pesa.
Kampuni yako inahusiana naDah siku nikiwa nimekaa nakukamata certificate ya Kampuni yangu ya (....)!
NIDA acheni um***[emoji1732][emoji1732]
Kijijini kuzur hakuna fujoNarudi kijijini kwetu au sehemu nyingine ya kijiji ambacho angalau kina moundo mbinu najenga huko makazi mazuri sana ya kuishi na nina hamia huko...hakuna maisha mazuri kama ya kijijini iwao utakua na uwezo wa kuweka makazi mazuri na masafi
AusioNtajenga nyumba nzuri,ntaanzisha miradi ya kunisaidia
Kisha ndinga kariiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni pombe na madem.akuna kulala
AusioMimi pesa hio najenga nyumba ya 500M, gari za 200M mbili nyumba nawezesha wazazi na wadogozangu, nymba za kupangisha kdhaa nakula bata sana, then 6B naweka UTT, FIXED nakula pesa nikiwa nimelala mpaka nakufa.
Gari nzuri San iyoNitanunua gari ninayoihusudu BMW X6.
Nakubaliana na wewe, tatizo ni usalamaNarudi kijijini kwetu au sehemu nyingine ya kijiji ambacho angalau kina moundo mbinu najenga huko makazi mazuri sana ya kuishi na nina hamia huko...hakuna maisha mazuri kama ya kijijini iwao utakua na uwezo wa kuweka makazi mazuri na masafi
Mambo mengi boss tupewe uzima tu na MaananiKampuni yako inahusiana na
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoa uzi ......nkizipata mi ni dada yako tu ndio bado sijampigisha kwata ................
1.DISCOVERY 4Gari gan unaikubali sana
Acha kabisa,ukute kijiji kiko chini chini ya miti kumetuliaaaaa! Una mjengo wako mzuri wa kisasa,maji na umeme..tukuku tunazunguka kwenye fence ya pembeni unajikamatiaga tu mdogo mdogo inachoma,hakuna majungu wala kufatiliwa na mtu.utaishi kama uko peponi mkushKijijini kuzur hakuna fujo
Nakubaliana na wewe, tatizo ni usalama