Wewe ni mwajiriwaKuna kitu ambacho ukikisahau mahali iwe nyumbani, Ofisini, au mahali popote lazima uahirishe uendako au uchelewe ili ukirudie? Kitu gani ambacho kitakulazimu kukirudia na kuchelewa uendako??
Mi nikisahau simu nyumbani hata kama sipo mbali na naenda kazini sirudi aisee ntakuta simu zilizokosekana na meseji.
- Kadi za atm
- Funguo
- Mkoba[pochi]/Wallet
- Leseni ya udereva
- Mpakato
- Tablet
- Simu
- Hela
- Chaja za simu
- Au chochote
Ndiyo mkuu kwani vipi??Wewe ni mwajiriwa
Wengine simu ndio ajira. Ukiacha simu unalala njaaNdiyo mkuu kwani vipi??
safi sanaSafari za kukaa kwa muda mrefu,,my Bible,my phone
Nikiacha hivi vitu lazima nirudi kuchukua..siwez kusurvive bila hivyo
Safari za matembezi mjini lazima niwe na miwani,,bila hivyo basi hakuna haja ya kwenda
nimekuelewa mkuuWengine simu ndio ajira. Ukiacha simu unalala njaa
safi kiongoziNi muhimu sana Mkuu. Mbali na kujikinga na moto, niko makini pia na wasiojulikana.
Gari nilitoe wapi mimi? Hiyo fire extinguisher natembea nayo mgongoni.so unatembea nayo kwenye gari au unabeba kama divers
mzee baba kama fire fighterGari nilitoe wapi mimi? Hiyo fire extinguisher natembea nayo mgongoni.
π±πππ Haaa haa haaaaa!!Mkuu umeua bendi.Ila mimi kama nikimuacha wife peke yake simrudii, Nikiiacha simu peke yake siirudii. Nikiacha simu na wife lazima nirudie kimoja wapo.
π± Aiseee nyie watu! ππππumetisha mkuu unanikumbusha usemi
"Ili kuokoa ndoa yako OGA na MKEO akizingua OGA na SIMU yako"
π€£π€£π€£π€£π€£ nitakuwepoBaharia upo kule MC kweli?
Karibu kwenye kampuni yetu ya sigara tukupe ubalozi.Nikisahau kiberiti (kasuku) lazima nikirudie hata kama kinauzwa 100/= nitakirudia .
Hasa kwetu sisi wazee wa "ile hela itume kwenye namba hii..."Wengine simu ndio ajira. Ukiacha simu unalala njaa
ndo ukweli mkuu hasa msiojiamini na simu zenuπ± Aiseee nyie watu! ππππ
ndo ofisi sio??Laptop!
Ulikuwa wewe pundamilia.