Kitu gani ni dhambi???

Mzee DC mie niimekosa cha kuandika maana yote yamekwisha andikwa nikaona nikusalimu tu nakupita

Ahsante dada,

Nilidhani na wewe umeogopa hilo neno (dhambi) maana wengi naona tunaliogopa kama ukoma wakati tunakaa nalo na kupigana nalo vikumbo karibia kila sekunde.

Labda wewe unisaidie kitu kimoja tu,

Hivi kuna haja ya kujipanga foleni kila baada ya miaka 5 kama wote tuna dhambi ya kuwa lege lege hata pale tunapotakiwa tu kufungua mdomo na kusema neno la matumaini (siyo kucheka cheka tu)???
 
Wengi wao kwenye hilo kundi nadhani wako ICU. Kama wameacha wajibu wao wa kuchunga kondoo wa Bwana na badala yake wanatundika madrip ya cocain na heroin, unadhani tuna watu hapo kweli??

Hiyo usitake kuiongelea maana unaweza pigwa ban huku
Achana nayo kabisa maana tuna viongozi ila duh wanaongoza kundi kulipeleka motoni kabisa
 
Dhambi Mzee DC ni relative term... kilicho dhambi kwa huyu sio dhambi kwa yule... hio kutokana na ukweli kua kila jamii ina Imani zake na beliefs zinazowaongoza ni jinsi gani waishi kati ya mtu na mtu au jamii na jamii... Nasema Dhambi ni relative sababu wanaohusika na kufafanua hiki ni dhambi ama sio dhambi ni wale ambao wana dini zao (hivo kuongozwa na vitabu vya dini) na kuna wale ambao hana imani na Mungu yoyote BUT still nae huona kua kitu fulani ni dhambi au lah!

Hivo DC kuchanganikiwa kwako kujua lipi dhambi na lipi sio ni kutokana na kubadilika kwa hii dunia ya sasa- dot com hasa (Globalised vilage in the real sense)... Tumechanganyikana watu wa race/imani/mazingira tofauti kabisa!! hivo kubadilika kwa tamaduni za maeneo na mataifa tofauti imekua sasa ni inevitable... na wale walio ni world powers; wakihakikisha kua wana tawalisha culture zao zaidi... Mfano mzuri saana ni issue nzima ya Ushoga! Sad.

Kimsingi kabisa waweza kuta kila litndwalo hapa duniani ni dhambi kwa mmoja na sio kwa mwingine... hivo kikubwa kwa mwanadamu yeyote it is beta asimamie misingi ya tamaduni zake hasa zile ambazo ni muhimu mno katika kumdefine na pia kuendeleza tamaduni...


Hata kama hauna dini/imani, yapo mambo ambayo ukifanya dhamira yako inakusuta. Unaposutwa na dhamira yako, basi ujue kwamba unatenda dhambi.
 
Hata kama hauna dini/imani, yapo mambo ambayo ukifanya dhamira yako inakusuta. Unaposutwa na dhamira yako, basi ujue kwamba unatenda dhambi.


Sijajua kua unaniunga mkona ama wanikosoa... lakini kwa msisitizo.... hio statement yako nimegusia katika post ulo ni quote.... for emphasis...


Dhambi Mzee DC ni relative term... kilicho dhambi kwa huyu sio dhambi kwa yule... hio kutokana na ukweli kua kila jamii ina Imani zake na beliefs zinazowaongoza ni jinsi gani waishi kati ya mtu na mtu au jamii na jamii... Nasema Dhambi ni relative sababu wanaohusika na kufafanua hiki ni dhambi ama sio dhambi ni wale ambao wana dini zao (hivo kuongozwa na vitabu vya dini) na kuna wale ambao hana imani na Mungu yoyote BUT still nae huona kua kitu fulani ni dhambi au lah!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom