Kitu gani ni dhambi???

Tulizo ndo hapo sasa maana hata hapa tunadanganya maana najua wewe huitwi Tulizo ila unafake name hapa
 
Tulizo ndo hapo sasa maana hata hapa tunadanganya maana najua wewe huitwi Tulizo ila unafake name hapa

Ndio maana nilikwambia mimi nishakuwa kuni.. Tulizo ni jina langu la kwanza lakini kulipata la pili labda uende kwa Mod akupe data za credit card yangu ya subscription. Otherwise, nitabaki kuwa kuni za Jehanamu..
icon7.png
 
He he he ...mkuu tukienda sana tunaweza kuingia hadi kudanganya username na JF ID's tuachie hapa..

Ahsante sana Mkuu,

Nimekaa nikajiuliza hadi nikaanza kuona nyota nyota......Hivi kweli tunajua kipi ni dhambi na kipi si dhambi? ...Kama jibu ni ndiyo..kimetusibu nini? Kama jibu ni hapana....kwa nini hatuzijui?

Na kama wote tumeshakuwa kuni...tutamchoma nani? Na kama ni hivyo kwa nini tusijiachie tukatenda kila kitu kwa kwenda mbele??

Naona akili imegota kwenye jam tena.....

Babu DC!!
 
Pole sana DC,tatizo ni kila mtu kutaka awe na fedha tena nyingi,dawa ni kutafuta mbadala wa fedha kwa mfano mtu ahesabike tajiri kwa kuwa na busara, upendo,n.k tena ikianzia Marekani itakuwa vizuri sana maana dunia nzima tutaiga fasta.
 
Theoretically possible kwani hata watu kama J.K Nyerere walikuwa na mawazo kama hayo. Practically...unaweza kuwashawishi wale matajiri wakubwa wanaoshindana kwenye orodha ya dunia kuchukua huo mtazamo??

Nadhani ushauri wa Lizzy unaweza kuwa muafaka kwa sasa!!

...Ukitenda dhambi nyepesi au with minimal damage ni sawa tu....tafsiri isiyo rasmi!!!
 
na ktk amri zote, ilio kuu ni upendo.
Upendo huvumilia, hauhesabu mabaya, pia upendo "husitiri wingi wa dhambi"
haya ni baadhi tuu ya mafundisho/nukuu ktk Bible, that means tangu zamani wakati Bible inaandikwa dhambi zilikuwa nyingi tuu! kwa akili zetu wenyewe hatuwezi kuzishinda, twaokolewa kwa neema tu.

Sina tatizo na upendo na especially kwa wale wateule wa karibu na sisi. Ila katika uwanja mpana, nadhani upendo ndo ulikuwa wa kwanza kutoweka!

Unawezaje kusema unawapenda wenzio wakati unakwapua kila kilicho chao? Unamendaje jirani yako wakati unataka kupora mke wake, vibinti vyake, housegirl wake na hata kuku wake? (similarly kwa watu wa ile jinsia nyingine)!! Unawapendaje wananchi wako wakati unakula futari tamu tamu na kuchekelea huku wakitaabika na kupingika kwa kila aina ya karaha???

Nimekwama mwenzenu.....!!
 
QUOTE=Tulizo;2344156]Ndio maana nilikwambia mimi nishakuwa kuni.. Tulizo ni jina langu la kwanza lakini kulipata la pili labda uende kwa Mod akupe data za credit card yangu ya subscription. Otherwise, nitabaki kuwa kuni za Jehanamu..<img src="https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon7.png" border="0" alt="" />[/QUOTE]<br />
<br />
Tulizo ukiangalia hapa hakuna hata herufi moja ya jina langu wala sijui nilitoa wapi hili jina.
Kama ni dhambi kufake I'd humu basi tuna dhambi nyingi sana
t
 
Tulizo ukiangalia hapa hakuna hata herufi moja ya jina langu wala sijui nilitoa wapi hili jina.
Kama ni dhambi kufake I'd humu basi tuna dhambi nyingi sana
t

Mkuu, tushakuwa kuni za Jehanamu kwa mengi.....labda tupunguze makali kwa kufanya mema machache kama vile kutumia ID zetu fake kushauri vijana mambo ya maana. Kama tutasaidia na kufanya wao wakapata furaha basi shukrani zao zinaweka kumfanya Mola kupata kigugumizi cha kutoa hukumu kwetu kwa kosa la kutumia ID fake..

yaani sisi kuni tunaweza ambulia kurushwa porini huko peponi na kukwepa moto kiaina..
 
Tulizo wacha tuu na ile nytingine ile ya kuvuana nguo kabla hatujaruhusiwa ni balaa
 
Tulizo wacha tuu na ile nytingine ile ya kuvuana nguo kabla hatujaruhusiwa ni balaa

Haswaaa.....siku hiz dhambi imebaki hiyo tu!!

Sina hakika kama nyingine bado ziko kwenye vitabu na vichwa vya watu!
 
Nyingine sijui kama zipo tena zinazotambulika ni hiyo tuu na ndio watu wanaijua na kuiogopa sana

Duhhhhhh....kuna haja ya ku-appeal ili schedule yenye list ya dhambi irekebishwe. Kwa njia hiyo tutapunguzia watu msongo wa mawazo!
 
Duhhhhhh....kuna haja ya ku-appeal ili schedule yenye list ya dhambi irekebishwe. Kwa njia hiyo tutapunguzia watu msongo wa mawazo!

yeah tena ibadilishwe ijulikane dhambi kubwa na ndogo na ziwekwe adhabu kwa kila dhambi
 
yeah tena ibadilishwe ijulikane dhambi kubwa na ndogo na ziwekwe adhabu kwa kila dhambi

Kwa nini baadhii ya dhambi zisifutwe kabisa ili watu wapate kujinafasi bila kujisikia vibaya?

Kwa kuacha mambo yaende hivi hivi tunaonekana wote tuko lege lege!
 
Kwa nini baadhii ya dhambi zisifutwe kabisa ili watu wapate kujinafasi bila kujisikia vibaya?

Kwa kuacha mambo yaende hivi hivi tunaonekana wote tuko lege lege!

nani akayeaappeal kw aMungu sasa kubadilisha status ya dhambi hapa duniani
Sana sana hata viongozi wa dini hawana uhakika na maisha yao maana na wao kwenye list wamo na ndo maana wanasema ishi nitakavyokufundisha ila sio kama niishivyo
 
Wengi wao kwenye hilo kundi nadhani wako ICU. Kama wameacha wajibu wao wa kuchunga kondoo wa Bwana na badala yake wanatundika madrip ya cocain na heroin, unadhani tuna watu hapo kweli??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom