Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 694
- 1,682
Wakuu kagueni simu, ikiwezekana fanyeni dozi mara tatu.
Wekeni pia na app za kutrack, mkizembea tu wajanja wanapita nao
Wekeni pia na app za kutrack, mkizembea tu wajanja wanapita nao
Ndo Mwanzo Wa Kupata VVU Bila Taarifa!Kama unampenda na huna mpango wa kumuacha usifatilie asee, ukianza kuchunguza Kuna Jambo....utajitia presha mkuu
Babe Ila yangu utaishika sanaaaa yaaniHaya mambo haya,kuna siku my ex boyfriend alifuma messages za mtu ndiyo ananipiga saundi akamind mbaya, nikajaribu kumuelezea haelewi mwishowe ikaisha ila tuligombana kiasi.
Sasa siku na yeye nacheki nakutana na anachat na mdada wamepeana ujauzito kumbe,dooh ilikua maumivu mno, na hadi sahivi ni wazazi, nimekoma kukagua simu ya mtu mimi
Hayo Ndo Maneno! Yaan Simu Ya Mke Wangu (nimenunua Mimi) Halafu Nishindwe Kukagua Kuondoa Virus Nyemelezi!Wakuu kagueni simu, ikiwezekana fanyeni dozi mara tatu.
Wekeni pia na app za kutrack, mkizembea tu wajanja wanapita nao
Mkuu asikudanganye mtu, wewe kagua ipasavyo. Tena ukipata kitu usimjulishe kama umepata kwenye simu yake, anaweza badili technic.Hayo Ndo Maneno! Yaan Simu Ya Mke Wangu (nimenunua Mimi) Halafu Nishindwe Kukagua Kuondoa Virus Nyemelezi!
Enzi za ujana wangu..niliwahi kukuta sms kwenye simu ya my first ..sms za mwanadada alikuwa anasoma nae huko mkoani boarding ..mdada analilia penzi la mchizi wangu ..mchizi anamjibu kikavu ile mbaya..mdada anajibebisha hadi huruma..alafu tulikuwa tumetoka kupiga game tuko halftime dah!..mood ilikata kabisa nikavaa nguo nikasepa zangu home..alisota week mbili kuomba msamaha..tangu hapo alikiwa akinipa simu yake sitaki.
Unge mwambia afue mshuka kwanza.Mkuu mimi sinaga presha nisha fumania demu wanguu analiwa na jamaa ndani baada ya mimi kuagaa nasepa nitarudii saa 6 usiku nikarudi saa 3 nakuta yuko ndani wana vurugana... Na sikufanya vurugu wala nini zaidi ya kumuacha aendee tu....
Mi moyoo uko simple sana.
Sent using mt4 app
Yeye kuchat tu na yule mdada ni kosa..Sasa mbaya zaidi ilikuwa inaniumiza kuhisi labda washakulana maana mdada alikuwa anasema amemiss kumfulia mashati ya shule.. khaaSasa kosa la mchzi ni lipi????
Duuh huwa inatokea may b kama enzi hizo jamaa bado alikuwa anasomaa... Ila kama mmekutana watu wazima kila mtu ana past history ingekuwa mwana ndo anamlazimisha game demu ningesema kwelii ..Yeye kuchat tu na yule mdada ni kosa..Sasa mbaya zaidi ilikuwa inaniumiza kuhisi labda washakulana maana mdada alikuwa anasema amemiss kumfulia mashati ya shule.. khaa
"Alikuwa anasema amemiss kumfulia mashati ya shule".Yeye kuchat tu na yule mdada ni kosa..Sasa mbaya zaidi ilikuwa inaniumiza kuhisi labda washakulana maana mdada alikuwa anasema amemiss kumfulia mashati ya shule.. khaa
Mtu wako anakufanyiaje upuuzi wa kuzima simu kama huo? unless unataka kupita tuu.Acha aiseee hii vitu ni hatarii mimi anazimaa kabisaa au ana weka offline ana acha line moja nzimaa ambayoo hapigiwiii
Sent using mt4 app
Hiii ni zamaniii sana sio sasaMtu wako anakufanyiaje upuuzi wa kuzima simu kama huo? unless unataka kupita tuu.
Ndio.
Kmmk 😀😀😀😀Sina zaidi ya ile niliekuta kanisevu KIBERENGE!.. ngoja waje waliokutana na mengi..😅
😀😀😀😀mpenzi mtazamajiNiliposhika cm yake ndio nikagundua kumbe yeye yupo single.
Yaani kuna jamaa mwingine amemtongoza na kumuuliza kuhusu mahusiano yake, demu anajibu eti kwasasa ishu za wanaume ameziweka pembeni, anaangalia maisha yake.
Jamaa akaomba nafasi akapewa. Nikabaki najiuliza, kama yeye yupo single, mimi ni nani kwake?
Unajitafutia Machozi ya BureHabari wana JF kila abiria achunge mzigo wake! Ushindani ni mkubwa sana haswa ukiwa na mwanamke mkali
Mwanawake wakali wana pitia visha wishi vingi sana ila kusema ukweli mwanamke yeyote mwenye msimamo alipitia vishawishi vingi au asha kuwa muhanga wa maamuzi ya kijinga huko nyuma.
Kuna siku nilikagua simu ya ex wangu nilichokikuta ni cha ajabu sana. Naweza kusema hakuna mwanamke asiye piga picha za utupu.
Naongelea wadada sio wamama. Hili rika lina tatizo sana. Mbaya zaidi uki kagua na kugundua alipiga na kutuma kwa watu fulani.
Nachotaka kusema wanaume tuwe na tabia ya kukagua simu za mademu zetu mara kwa mara. Hii itakusaidia kujua mkeo ana wasiliana na nani na anatumiaje mtandao wake wa kijamii vinginevyo utakuwa una hudumia huku wenzako wakijilia bure
Ulazwe kwanini huo ni udhaifu ..ni muhimu kuikagua ujue anakuchukuliaje isijekuwa unajipa matumaini kuwa unampenzi anaye kupenda kumbe mwenzio anakuchukulia kuwa ni house boy/house girl waounataka kujitakia magonjwa ya moyo na presha zisizo na ulazima unakaguaje simu ya mpenzi wako c ndo mwanzo wa kulazwa huo
achana nayo akifanya afanye ww usijue ukitaka kushika shika hizo simu tutakuzika kabla ya muda wako
😀😀😀😀😀kmmkMwingine nilishika simu yake baada ya kulala aiseee sitakaa ni sahauuu.
Nimekuta ana chat na best yanguu na walikuwa wana chat sex issues na kuhusu siku waonane ampe tundaa.
Nika mfata jamaa nika mchana akakubalii akadaii kuwa manzi ndo analeta shoboo nikamuulizaa nikuachiee uishii naee mi sitakuwa na neno akakataa akasema yeye alitaka kupita tu.
Siku kaa hata week yule manzi nika tupa kule.
Fikiria unakuta msg ime ongeleaa jinsi atakavyo mpiga BJ jamaa kama anavyi fanya siku zote.
Wanawakee ni noma
Sent using mt4 app
😀😀😀😀😀ayeeeSiwezi kukagua kagua simu ya mpenzi wangu maake najua tafanya kitu kibaya Sana likitokea la kutokea......
Niliwahi kukagua kwa ex wangu, alikuwa na tabia ya kuizima akija kwangu..nilichokikuta sikuamini, zile sms na alikuwa na mahusiano na mchungaji wa kanisa flani tulipokuwa tunasali....nilimuacha yeye na kanisa nikahama😁😁😁