Kitu gani kwenye simu ya mpenzi wako ulipekuwa kikakustaajabisha?

Wangu ananiachia simu yake siku nzima nacheki cheki tu na kuperuzi kama simu yangu haina chaja mda huo
Kwa Kweli kuna wanawake waaminifu na wenye upendo.
Km ana simu nyingine ambayo laini iliyopo ndio bwana zake wanaijua.Siyo mjinga unavozani wewe.Hao viumbe labda endelea tu kumwamini,ila cku ikifika utaanguka na kufa.Jinsi umejiaminisha na kitakachotokea lazma ufe tu hamna namna.
 
Back
Top Bottom