Kitu gani kwenye simu ya mpenzi wako ulipekuwa kikakustaajabisha?

Antetokounmpo

JF-Expert Member
Feb 5, 2020
758
1,000
Niliposhika cm yake ndio nikagundua kumbe yeye yupo single.

Yaani kuna jamaa mwingine amemtongoza na kumuuliza kuhusu mahusiano yake, demu anajibu eti kwasasa ishu za wanaume ameziweka pembeni, anaangalia maisha yake.

Jamaa akaomba nafasi akapewa. Nikabaki najiuliza, kama yeye yupo single, mimi ni nani kwake?
Dahhh
 

logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
3,931
2,000
Huwa sinatabia ya kupekua sim ya mpenz wangu ila siku moja nikamwomb simu ili nirecord kitu. Nilipokua narecord ikaingia text ikadisplay kwa juu ilikua tata kidogo moyo ukashtuka ikabid niende kwenye conversation lahaula.. mwanamke ananunua dawa za kupunguza K kwa hiyo anapewa maelekezo jinsi ya kutumia na anaelezea jinsi alivyofumuliwa na jamaa mwenye mguu wa mtoto.
sikuamin macho yangu kwa alivyokua mstaarabu kwa nje. Niliamua kukaa pemben
Ha ha ha ha
 

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,359
2,000
Aisee sipendi tumia lugha ya matusi hapa jf ila hii inabidi tu niandike.

kuna siku nipo job nashangaa text inasema "Leo nikija usiniombe nyuma bwana"

daah nikaona hapa sina demu.
 

Priceless soul

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
1,480
2,000
unataka kujitakia magonjwa ya moyo na presha zisizo na ulazima unakaguaje simu ya mpenzi wako c ndo mwanzo wa kulazwa huo

achana nayo akifanya afanye ww usijue ukitaka kushika shika hizo simu tutakuzika kabla ya muda wako
Unazima taaa,unaendelea kula embe bovu kuogopa kuwaona funza ,ni ujinga/kutojua maana utaumwa kwa ugonjwa pia
 

Priceless soul

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
1,480
2,000
Mkuu mimi sinaga presha nisha fumania demu wanguu analiwa na jamaa ndani baada ya mimi kuagaa nasepa nitarudii saa 6 usiku nikarudi saa 3 nakuta yuko ndani wana vurugana... Na sikufanya vurugu wala nini zaidi ya kumuacha aendee tu....

Mi moyoo uko simple sana.

Sent using mt4 app
Umekuwa, hongera...
 

Priceless soul

JF-Expert Member
Jul 4, 2017
1,480
2,000
Haya mambo haya,kuna siku my ex boyfriend alifuma messages za mtu ndiyo ananipiga saundi akamind mbaya, nikajaribu kumuelezea haelewi mwishowe ikaisha ila tuligombana kiasi.

Sasa siku na yeye nacheki nakutana na anachat na mdada wamepeana ujauzito kumbe,dooh ilikua maumivu mno, na hadi sahivi ni wazazi, nimekoma kukagua simu ya mtu mimi
Ila imekusaidia kutopoteza mda
 

alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
1,868
2,000
We jindanganye mwenzio ana kinokia tochi ko huwa anakupa tu hiyo smart kukupoteza maboya, be careful

Sawa mkuu asante kwa ushauri
Ila nilichoandika najua huyu binti ni muaminifu kwangu sio mtu wangu wa kwanza au hata Tatu nne kua nae ila Nina kila sababu ya kusema ni muaminifu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom