Kitu gani kinanisumbua?

Kitu gani kinanisumbua?

Aisee hakika umeandika ukweli kabisa.

Kuhusu kukosa maelewano kawaida tunajadiliana kisha mambo yanaisha,

Kwakwel wapenzi wangu wote ni marachache sana ama hakuna nliefanya nae la maana, isipokuwa huyu wa mwisho nimesomanae chuo pia kipindi namaliza chuo tulikua tunafanya bihashara pamoja, lakini kwasasa mm ndio namaliza na yeye anaingia mwaka wa mwisho.

Kiukweli nikisha achana huwa sikumbuki chochote kwa nilie kuwa nae.
oky mkuu unchukua muda gani kufall in love na kuingia kwenye mahusiano?
 
oky mkuu unchukua muda gani kufall in love na kuingia kwenye mahusiano?
Huwa ina vary ķulingana na mwanamke mwenyew kuna ambao nlichukua mda mfupi lakini wachache huwa napita nao stage ya friendship kwanza. Lakini chakushangaza sijawahi fanikiwa kuwa na mwanamke ambae tumeanza kuwa marafiki kwanza.

Ikitokea kumpenda mwanamke ambae ni rafiki yangu huwa simpati kabisa. Nakumbuka kuna mwanamke nlikaa nae takribani miez sita kama rafik yangu na sikua na hisia nae wala hata wazo la kuwa nae.
Later on nikampenda sana lakin nlivoanza kumweleza hisia zangu alikua anakua dilema sana kukubali ombi langu mwisho akasema haiwezekani.

Kati ya hao wanne wa mwisho hatukua marafiki sana mwanzo wala hatukua marafiki wa muda kabisa.
 
Back
Top Bottom