DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Kwa hiyo wanne ni wengi.Mtoto mdogo + kujua nyuchi mbalimbali I mean
Wewe katka umri huo ulikuwa na wapenzi wangapi(uwe mkweli)
Kwa hiyo wanne ni wengi.Mtoto mdogo + kujua nyuchi mbalimbali I mean
Nilianza na sex na 23 but after that sikukamatika kwa idadiKwa hiyo wanne ni wengi.
Wewe katka umri huo ulikuwa na wapenzi wangapi(uwe mkweli)
Aisee hakika umeandika ukweli kabisa.mkuu rbt inawezekana huwa hupendi kikweli
inawezekana unaamua kuwa na mtu bila kujali kama ni true love au infatuation
maanake infatuation pia inafanana kabisa na love isipokuwa yenyewe ni hisia zitokanazo Zaidi na mihemko labda kwa sababu ya mwonekano wa mtu hasa,mara nyingi aina hii ya upendo kudumu ni mara chache sana
ila true love kufa sio rahisi maana ni hisia zile za ndani kabida kumwelekea mwenzi wako,na huenda hata ukaashangazwa na upendo unavyojengeka,unaweza ukakutana na mtu leo ukamwona wa kawaida sana yaani wala asikushtue,hata baada ya miezi kadhaa ila kadri wakati unavyopita na unavyozidi kuinterract na mtu huyo unajikuta kidogo kidogo unaanza kumwona special na anaanza kukuvutia,tena anaweza akawa wa kawaida sannn au hata sio mzuri au mzuri tu sana pia inawekana
em nikuulize huwa unachukua muda gani kufall in love na hao the so called ma ex wako?
mkiwa kwenye mahusiaono huwa mnasolve vipi ikitokea mmekosana?
ni activities zipi ambazo mnafanya mara nyingi Zaidi mkiwa pamoja?
katika wote ulioachana nao ikitokea umemkubuka mmojawapo huwa unakumbuka nini?
Asante sana mkuuKila mtu yuko hivyo...awe mwanamke awe mwanaume. Inchofanya watu wanaishi pamoja miaka mingi ni.
1. Mazoea
2. Kuwa na vitu vya kufanya pamoja kama kulea watoto, biashara n.k.
Tiba yake ni hii..ukipata mpenzi unaye mpenda tafuta kitu cha kufanya naye pamoja ambacho kitawaweka karibu. Ambacho kitawafanya mpigiane simu mara kwa mara na kuongea mara kwa mara.
Ili uendelee kuishi ?how?cjakuelewa mkuuNami ilikuwa ivo ivo japo am mwanamke na nilipokuja kususiwa mimba ndo nikachukia kabisa mahusiano ..achana na kumchoka MTU mapema ila nilichukia kabisa.nipo ndoani ili niendelee kuishi.Only that
What's your point of concern ?20+ not equal to 20
Umeshajenga viwanda vingapi vya watoto ?Nilianza na sex na 23 but after that sikukamatika kwa idadi
Umeshajenga viwanda vingapi vya watoto ?
[/QUOTE u mean what?
Umemaanisha nnUmeshajenga viwanda vingapi vya watoto ?
Usipoolewa unakuwa huru sana na unaweza kutoka na wengi mno Ila ukiolewa unatulia na mume na magonjwa ushayaepuka unaishiIli uendelee kuishi ?how?cjakuelewa mkuu
Hello everybody,
Mimi ni kijana mwenye miaka 20+....
Nimekua member wa JF kwa muda sasa nikisoma nyuzi katika majukwaa mbali mbali, lakini nilivyo pitia hili jukwaa kwa muda wa week chache nimesukumwa sana kuandika kitu nikasaidika toka kwa wadau wa hapa kwani, kwa asilimia kubwa naona watu wanatoa ushauri wa kujenga sana wenye msaada kwa hawahitaji japokua watani hawakosi pia.
Bila kupoteza muda nijielekeze moja kwa moja kwenye nia iliyo nileta kwenu.
Tangu nianze safari yangu ya mahusiano mpaka sasa nimesha vunja mahusiano na wanawake wanne mpaka sasa. Mwanzoni mwa mahusiano huwa naishi na mwanamke kwa furaha na kumpenda sana na moyo wangu huwa unaamini kuwa huenda akawa wangu wa maisha lakini nikisha kaa nae kwa miezi kadhaa au mwaka najikuta napoteza hamasa juu yake.
Yaani naanza kumuona wa kawaida, huwa najichukia jinsi kiwango changu cha kumjali kinavyo shuka pia naanza kuwa busy sana na ratiba zangu binafsi.
Yaani huwa nakaa chini najitahidi kurudisha upendo wa nliokua nao awali lakini najikuta nafanya kwa siku chache tu halafu hali inakua ile ile.
Mfano naweza nisimtafute hewani hata siku tatu mfululizo na yeye asipo nitafuta ndio imetoka.
Naacha kuwanae karibu kabisa na nikiulizwa kwanini nimebadilika huwa naomba msamaha lakini maswali yakizidi nakasirika na tunakosa maelewano mwishoe tunavunja mahusiano.
Hivi karibuni nimeachwa na mdada nilie pendana nae sana na kudumu nae kwa muda wa miaka miwili na nusu sababu ikiwa ni hihi ya kutokujali na kumpuuzia kabisa.
Hali hii naiogopa najitahidi niwe consistent na ku_mantain kiwango cha juu cha mpenzi lakini nashindwa kabisa.
Sasa sjui chaguo langu bado au ni nini hasa yaani dah i can't explain. ..
Nadhani hakuna mwanamke anaweza kukubali kuvumilia mabadiliko yangu nogopa kuishi bachelor siku za usoni.
Hivi ni kipi shida hasa! kwa mtu anaeweza kunijuza shida yangu na utatuzi wake atakua amenisaidia sana.... maana hii kuachana achana inachosha na mtu unaloose confidence na maamuzi yako mwenyew. Pia inashusha reputation yako kabisa. Nawaza inakuaje wengine wanalast lakin mimi ni mtihani? Sometimes i hate myself
Natanguliza shukran zangu za dhati kwa mchango wako kwani naamini huenda ukanisaidia ku improve kwa namna moja ama nyingne.
Asante sana mkuu i will work on itUzuri ni kwamba unalijua tatizo lako. Sasa sijui kama unaweza kulifanyia kazi mwenyewe ili usilirudie au inabidi kuwaona wataalam. Huyo mliyekuwa nae kwa miaka mie ili na nusu na ukampenda sana muonyeshe huu uzi labda naye atakuwa na msaada mkubwa kwako kuondokana na hii tabia ya hovyo. Kwanza mnaweza kurudiana pia anaweza kukuelewa tatizo ulilonalo na kukuelewa pale ulipoacha kumtafuta. Ni tatizo kubwa hili hasa kama unakusudia kumpenda mrembo mpaka mjaliwe kufunga pingu za maisha.
Haziko specificKawaida ni miaka mingapi mtu akifikisha ndio hii hali inaisha