Kitu gani kinamsisimua mwanamke

Kitu gani kinamsisimua mwanamke

Unazungumzia mwanamke gani?
Huyu huyu ambaye yuko tayari kuweka kucha juu ya kucha?
Huwezi kumuelewa, Never.
Oyaa mwamba ibn qun rudisha avatar picha yako tuliyoizoea la jitu lenye pembe moja forehead.
 
Hapa bila Smart911 kuacha neno lake uzi huu utakua batiri
Screenshot_20260308_182333_Chrome.jpg


Lamomy

adriz de mbusii
 
Mkuu hakuna range fln ya mwanamke et kwakuw ana miaka kadhaa bado nihela tu ndo huwasisimua,ili mwanamke akuone watofauti lzm hela iwepo.
 
Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana…

“Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?”

Nilidhani wangesema:

Misuli ya tumbo.
Pesa.
Au ubabe wa mwanaume.

Lakini majibu yao lilinishangaza.

Karibu wote walisema kitu kimoja…

Sio kile mwanaume anachofanya.
Ni kile mwanaume ANACHOSEMA.

Hapa ndipo wanaume wengi wanapokosea.

Wanaume wengi wanafikiri mwanamke anawashwa na nguvu ya muda mrefu kitandani, au kujionyesha uwezo wa pesa n.k

Lakini ukweli ni huu:

Mwanamke anachokozwa na akili yako kabla hujaguswa na mwili wako.

Ukweli mwingine ambao wanawake wengi walisema ni huu:

1. Mwanaume anayemzingatia mwanamke kikamilifu humwasha zaidi.

Sio mwanaume anayejionyesha.

Bali mwanaume anayejua kusoma hisia zake, kumtazama, na kumfanya ajisikie ndiye kitu pekee duniani wakati huo.

Hapo ndipo mvuto halisi huanza.

2. Kudumu muda mrefu siyo kitu muhimu saana kama wanaume wanavyofikiri.

Wanawake wengi walisema wazi:

“Kama mwanaume hajui kuamsha hisia zangu za ndani, hata lisaaa nzima litanichosha.”

Wanachotaka ni dakika chache zenye hisia kali na muunganiko wa kweli.

3. Tatizo kubwa la wanaume wengi ni kuogopa kumaliza mapema.

Hofu hiyo huwafanya wapoteze kitu muhimu zaidi…

connection ya kiakili na mwanamke.

Na hapo ndipo hisia zinakufa.

4. Maneno ya mwanaume yana nguvu kubwa kuliko anavyofikiri.

Maneno ya mwanaume anayosema kabla hata mambo kuanza yanaweza kumfanya mwanamke:

• awe na hamu
• awe na msisimko
• au apoteze hisia kabisa.

Kimya mara nyingi humfanya mwanamke aanze kufikiria vitu vingi.

Lakini mwanaume anayejua kutumia maneno kujenga mvuto anaweza kuamsha hisia kabla hata hajamgusa.

Ndiyo maana wanaume wachache sana wanaelewa siri hii:

Wanawake wengi hawaanzi kuwashwa mwilini…
wanaanza kuwashwa akilini.

Ukielewa hilo tu, tayari umefahamu kitu ambacho wanaume wengi hawajui.


Ni kitu gani mwanaume alisema au alifanya ambacho kilikuvutia sana kuliko vingine?

Andika maoni yako hapo chini. 👇

Abuu Abdillah
Achana na heka heka za wanawake utawashindwa, Kuna muda watakwambia msuguaji sana mara msuguaji kidogo mara mnfyoza kyuma, mara pesa, mara sixpack mara muda, mara gari yaani tafrani
 
Back
Top Bottom