Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana…
“Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?”
Nilidhani wangesema:
Misuli ya tumbo.
Pesa.
Au ubabe wa mwanaume.
Lakini majibu yao lilinishangaza.
Karibu wote walisema kitu kimoja…
Sio kile mwanaume anachofanya.
Ni kile mwanaume ANACHOSEMA.
Hapa ndipo wanaume wengi wanapokosea.
Wanaume wengi wanafikiri mwanamke anawashwa na nguvu ya muda mrefu kitandani, au kujionyesha uwezo wa pesa n.k
Lakini ukweli ni huu:
Mwanamke anachokozwa na akili yako kabla hujaguswa na mwili wako.
Ukweli mwingine ambao wanawake wengi walisema ni huu:
1. Mwanaume anayemzingatia mwanamke kikamilifu humwasha zaidi.
Sio mwanaume anayejionyesha.
Bali mwanaume anayejua kusoma hisia zake, kumtazama, na kumfanya ajisikie ndiye kitu pekee duniani wakati huo.
Hapo ndipo mvuto halisi huanza.
2. Kudumu muda mrefu siyo kitu muhimu saana kama wanaume wanavyofikiri.
Wanawake wengi walisema wazi:
“Kama mwanaume hajui kuamsha hisia zangu za ndani, hata lisaaa nzima litanichosha.”
Wanachotaka ni dakika chache zenye hisia kali na muunganiko wa kweli.
3. Tatizo kubwa la wanaume wengi ni kuogopa kumaliza mapema.
Hofu hiyo huwafanya wapoteze kitu muhimu zaidi…
connection ya kiakili na mwanamke.
Na hapo ndipo hisia zinakufa.
4. Maneno ya mwanaume yana nguvu kubwa kuliko anavyofikiri.
Maneno ya mwanaume anayosema kabla hata mambo kuanza yanaweza kumfanya mwanamke:
• awe na hamu
• awe na msisimko
• au apoteze hisia kabisa.
Kimya mara nyingi humfanya mwanamke aanze kufikiria vitu vingi.
Lakini mwanaume anayejua kutumia maneno kujenga mvuto anaweza kuamsha hisia kabla hata hajamgusa.
Ndiyo maana wanaume wachache sana wanaelewa siri hii:
Wanawake wengi hawaanzi kuwashwa mwilini…
wanaanza kuwashwa akilini.
Ukielewa hilo tu, tayari umefahamu kitu ambacho wanaume wengi hawajui.
Ni kitu gani mwanaume alisema au alifanya ambacho kilikuvutia sana kuliko vingine?
Andika maoni yako hapo chini. 👇
Abuu Abdillah
usipeleke maua tia helaaa,, toa sasampa sasampa🎶🎶💃Asilimia 70% ya hamu ya tendo hutengenezwa na maneno na matendo ya nje ya chumbani!
Mwenzio kafanya ka utafiti kake Hana baya.Ungekuwa unazingatia hivyo masomo ungekuwa mbali sana
Sawa mkuu. Tusubiri wenyewe waje.Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana…
“Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?”
Nilidhani wangesema:
Misuli ya tumbo.
Pesa.
Au ubabe wa mwanaume.
Lakini majibu yao lilinishangaza.
Karibu wote walisema kitu kimoja…
Sio kile mwanaume anachofanya.
Ni kile mwanaume ANACHOSEMA.
Hapa ndipo wanaume wengi wanapokosea.
Wanaume wengi wanafikiri mwanamke anawashwa na nguvu ya muda mrefu kitandani, au kujionyesha uwezo wa pesa n.k
Lakini ukweli ni huu:
Mwanamke anachokozwa na akili yako kabla hujaguswa na mwili wako.
Ukweli mwingine ambao wanawake wengi walisema ni huu:
1. Mwanaume anayemzingatia mwanamke kikamilifu humwasha zaidi.
Sio mwanaume anayejionyesha.
Bali mwanaume anayejua kusoma hisia zake, kumtazama, na kumfanya ajisikie ndiye kitu pekee duniani wakati huo.
Hapo ndipo mvuto halisi huanza.
2. Kudumu muda mrefu siyo kitu muhimu saana kama wanaume wanavyofikiri.
Wanawake wengi walisema wazi:
“Kama mwanaume hajui kuamsha hisia zangu za ndani, hata lisaaa nzima litanichosha.”
Wanachotaka ni dakika chache zenye hisia kali na muunganiko wa kweli.
3. Tatizo kubwa la wanaume wengi ni kuogopa kumaliza mapema.
Hofu hiyo huwafanya wapoteze kitu muhimu zaidi…
connection ya kiakili na mwanamke.
Na hapo ndipo hisia zinakufa.
4. Maneno ya mwanaume yana nguvu kubwa kuliko anavyofikiri.
Maneno ya mwanaume anayosema kabla hata mambo kuanza yanaweza kumfanya mwanamke:
• awe na hamu
• awe na msisimko
• au apoteze hisia kabisa.
Kimya mara nyingi humfanya mwanamke aanze kufikiria vitu vingi.
Lakini mwanaume anayejua kutumia maneno kujenga mvuto anaweza kuamsha hisia kabla hata hajamgusa.
Ndiyo maana wanaume wachache sana wanaelewa siri hii:
Wanawake wengi hawaanzi kuwashwa mwilini…
wanaanza kuwashwa akilini.
Ukielewa hilo tu, tayari umefahamu kitu ambacho wanaume wengi hawajui.
Ni kitu gani mwanaume alisema au alifanya ambacho kilikuvutia sana kuliko vingine?
Andika maoni yako hapo chini. 👇
Abuu Abdillah
Kisimi nyonya uonee mkuuNiliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana…

Weraaa weraaa tiaaa heraaaaa bora heraaa we kwaoo n nyo....tuPesa ; hivyo vingine ni janja janja tu. Hata umfanyie kila kitu cha kumsisimua kama huna pesa ni kazi bure ataona unampotezea muda 😀😀
Yani hata mimi najiuliza sijui kwanini ipo hivyo.Kwenye mapenzi naona hekaheka nyingi ni za mwanaume kumfanyia mwanamke. Yaani hela nitoe mimi lakini bado na kushughulia nifanye mimi. Daaah nachoka momi