mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 642
- 594
Ndio mana nimeomba niwe wa humu , nje ya humu namuachia yeyeMh wewe mtu ninae ila hayumo humu we furahia bandiko tu
Ndio mana nimeomba niwe wa humu , nje ya humu namuachia yeyeMh wewe mtu ninae ila hayumo humu we furahia bandiko tu
Perfomance kitandan auMuda wake kujali kwake na perfomance yake
Uoga wako ndio umaskini wako.ungekuta saizi na we unaenda kutibiwa india hata ukipata mafua tu
Mapenzi basi? utakula mapenzi?!!!Mapenzi
Kumbe yanaliwa, Dsm mnafaidiMapenzi basi? utakula mapenzi?!!!
Wewe hapo ndio umeongea ukweli.Mwanaume asiye na kitu kwa kweli sijawah kumpenda
Toka lini?!Naomba wadada mnijibu
Toka lini?!
Hata kama jamaa anapiga show ya kibabe, mwanamke kuna siku ataona haitoshi, kazi itaanza hapo..
Mwanamke ni...
View attachment 751251
TU...
Siwez sema uongo hata siku mojaWewe hapo ndio umeongea ukweli.
Uko sashihi mkuu, mwanamke mwenye pesa ata km unapiga shoo ya namna gani na hajiwezi kwako namna gani, ila huwa wanapitiwa na kufanya dharau sana.... na anaweza akakuaibisha mahali ambapo hujawahi kutarajia....Hahahah.... wewe wasema.... sikupenda kuja kupata dharau siku moja, maana dharau ndio kitu cha kwanza nakichukia katika maisha yangu.
MAMBO AMBAYO HUPASWI KUMFANYIA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI
1. Usimuumize moyo wake
2. Usi 'pretend' unampenda ili ufanikiwe kufanya yako.
3. Mtukane vyovyote vile ila sio wazazi wake na kumwambia kuwa yeye ni mbaya.
4. Usimfananishe na wanawake zako waliopita.
5. Usimchukulie kirahisirahisi (Never take her love for granted)
6. Usimpige
7. Usimsaliti na kuonyesha kabisa dharau ajue kuwa una 'cheat'
8. Usimvunjie heshima kwa kumgombeza mbele za watu.
9. Usimpotezee muda wake kama hauna mpango wa kumuoa, unamchelewesha kupata mume bora.
10. Usimfanye ajione hapendwi na ana mkosi hapa ulimwenguni, huo ni ujuha.
11. Usimbake
12. Kamwe usisahau kumwambia unampenda na yeye ni mzuri hiyo haipunguzi nguvu za kiume.
13. Usimpe mimba na kumkimbia au kumwambia aitoe, kama huna nia ya kumuoa achana na hayo mambo, nadhani unajua kabisa matokeo ya kufanya ngono.
Sometimes wanaume ni pasua kichwa vilevile, unakuta unapata mwanamke anaekupenda kwa dhati, mwanamke ambae ni potential, mwanamke ambae hakodoi macho pochi yako, ila masikini ya Mungu anaishia kuumizwa na kulia kila siku na kujilaumu kwanini alikupenda.
Wewe fanya hivyo ukidhani unamkomoa, ila siku na wewe ukibananishwa na mwanamke mjasiriamwili utaisoma namba, nakwambia utauza hadi boxer.
Baadae unakuja kulalamika hapa 'wanawake wanapenda pesa, wanawake wanapenda pesa.' ukishikwa shikamana.
Na kama humpendi usimtongoze!
Usimpige ndege Jiwe kama ujandaa mazingira ya kumuokotea
KaribuAsante
Unazungumzia Miaka ya 1990 kushuka chini? ila wa sasa pesa mbele kama tai,hata ukipaka PUTURU/CONGO POWDER/UKASIMAMIA KUCHA/SHOW ZA KIBABE kama huna hela imekula kwako UFUNDI NI VETA TU.