Kitu gani hufanya mwanamke ampende mwanaume asiye na kitu na kuwakataa matajiri?

Nawajibia from my own experience. Nilishawahi kuwa na mtoto wa kike from family ya kishua tena kishua haswaaaa. Maana ni zile family ambazo mtu akiumwa basi ni safari India. They were rich, and kama unavojua watu wa sample hii huwezi ingia kwake kwa Gia ya hela maana hela si tatizo kabisa kwake. You need to be really.

She was beautiful and she was loving me mno, lakini kila nikiuwazia ukapuku wangu nilikuwa najiona kama nampotezea muda vile maana niliona kama vile hata kwao naweza kuwa rejected.

I just left her finally, I think nilikuwa right according to what I was believing
Uoga wako ndio umaskini wako.ungekuta saizi na we unaenda kutibiwa india hata ukipata mafua tu
 
Mwanamke ukishamkamata kona zake zote, hanaga ujanja na ataendelea kukupenda milele ukiwa na nia naye.
Kona hizo ni;
1. Kumpenda kweli na ahakikishe
2. Kumjali na kumheshimu
3. Matumizi; kwa kile kile kidogo upatacho.
4. Zawadi, kulingana na kipato chako.
5. Good sex (Good sex performance )
 
Mwanamke ukishamkamata kona zake zote, hanaga ujanja na ataendelea kukupenda milele ukiwa na nia naye.
Kona hizo ni;
1. Kumpenda kweli na ahakikishe
2. Kumjali na kumheshimu
3. Matumizi; kwa kile kile kidogo upatacho.
4. Zawadi, kulingana na kipato chako.
5. Good sex (Good sex performance )

umemaliza kaka.
 
Mapenzi yake jinsi anavyokujali na mnavyosikilizana kwenye mahusiano yenu mapenzi bwana kitu kimoja cha ajabu sana
 
Back
Top Bottom