Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Mbunye au mkuyenge?
Mbunye au mkuyenge?
W I S D O MKila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! that thing which you value the most na umekiweka grade no. one kwako kwamba kwa mtazamo wako hakuna kitu chenye thamani kuliko hicho?
Nimekupenda bure
Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa ,nimecheka kwa sauti ya juu kbs ,jf raha sana daah!
perfect faru26.04.2018
Mungu ndiye mtoa afya, ndo maana hata wanaoishi masaki, wenye bima bora, chakula bora, hata marais huwa wanaugua na kufa. kile kinachoshinda mauti na kuzimu ndicho chenye thamani kuliko vitu vyote.Afya yangu