MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,520
- 39,098
Uzima wa milele hakikaUzima wa milele.
Uzima wa milele hakikaUzima wa milele.
life zuri
Uhai.
MUNGU MUUMBA WANGU
Amani.
Mtoto
Msosi
USIWE NA TAFSIRI FINYU! HIYO INAITWA "uhuishaji"Kiswahili Kigumu yaaani swali limeuliza kitu muhimu wengine wanasema mtoto, Mungu sijui Ccm yaaani navyo ni vitu... !!!!!
Jamani vitu si kama magari, nyumba, dhahabu, computer, meli, ndege e.tc
Sawa umechagua kitu kizuri... Mama nikitu kizuriMAMA YANGU
Kiswahili Kigumu yaaani swali limeuliza kitu muhimu wengine wanasema mtoto, Mungu sijui Ccm yaaani navyo ni vitu... !!!!!
Jamani vitu si kama magari, nyumba, dhahabu, computer, meli, ndege e.tc
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]My papuyeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kila mtu anacho kitu anachothamini kuliko vyote katika maisha yake, kwako wewe msomaji, ni kitu gani kina thamani kuliko vitu vyote hapa duniani kwa mtazamo wako! that thing which you value the most na umekiweka grade no. one kwako kwamba kwa mtazamo wako hakuna kitu chenye thamani kuliko hicho?
kwa maoni yako, kwa mwanadamu yeyote, nini ni kitu cha thamani kuliko vyote ambacho pengine yeye hata hajui kama ni cha thamani?
Papuyee..!!!???? Akii we ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiswahili Kigumu yaaani swali limeuliza kitu muhimu wengine wanasema mtoto, Mungu sijui Ccm yaaani navyo ni vitu... !!!!!
Jamani vitu si kama magari, nyumba, dhahabu, computer, meli, ndege e.tc