Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,775
Kwangu Mimi Afya ni ya kwanza. Namtegemea Muumba, na kanipa akili timamu, hivyo ni wajibu wangu kuichunga afya yangu.Mungu ndiye mtoa afya, ndo maana hata wanaoishi masaki, wenye bima bora, chakula bora, hata marais huwa wanaugua na kufa. kile kinachoshinda mauti na kuzimu ndicho chenye thamani kuliko vitu vyote.