kitu gani ambacho kilikukuta na hutokisahau maishani mwako

Sitasahau siku niliyokunywa katoni moja na nusu ya reds nikashindwa kupandisha ngazi kwenda flow ya nne nikalala kwenye ngazi
 
siku ya kwanza kucheza mechi hasaa lile goli la kwanza lilikuwa tamu,mpaka nikajisahua nikamsimulia mama,alinishushia kipigo hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,nilikuwa form one term ya kwanza
 
1.sitasahau siku niliyozaliwa..
2.sitasahau siku matokeo ya form four yalipotoka tukajikuta tumefaulu wasichana wawili shule nzima.
3.sitasahau siku wazazi wangu walipotaka kutengana..namshukuru mungu sasa ivi hali shwali.
 
sitasahau siku nilipopiga mechi na limama halafu likawa linalia kama mtoto mchanga.
 
Mi nakumbuka kwa mbali tulienda kwenye ukumbi sijui ni wa Korea ule na wenzangu wengi wa Shule ( high School moja hapa DSM) sasa mimi na rafiki yangu tukajifanya wajuaji tukasema tupande mpaka ghorofa ya juu. Kufika huko kumbe walikuwa hawaruhusu ( hawapendi ) watu nadhani hasa wanafunzi kwenda huko. Jamani tukamkuta mama mmoja mkali huyo kama pilipili, tatizo ikawa Lugha, tumnamuekwa kabisa kuwa anatufokea ( kwa kilugha chake) kwa nini tumeenda huko sasa kujibu tunashindwa. Haraka nikainama kama kumwambia ' we are sorry' na mwenzangu vilevile akainama. Akatupa isharsa ya kuondoka. Tukateremka mbio mpaka ukumbini tukajiunga na wenzetu na kubaki na siri yetu .
 
Sitosahau siku nilipotekwa na washenzi wawili wakachukua kila nilichokuwa nacho!
 
Sitosahau sch,bweni la wavulana lilikumbwa na msongano hivyo patron akanihamishia kwenye bweni la wasichana na rafiki yangu mmoja WA damu.
Mpaka Leo siamini vile for two years yaani std 6&7 eti wala sikugegeda.Damn! Very sad aiseee
 
wana jm wa janvi hili hebu tupieni hapa kile kikubwa zaidi ambacho kilikukuta katika maisha yako na hutokisahau maishani mwako
kwa upande wangu mimi nilikua nina miaka kiasi ya 17 hivi nilienda kumtembelea mjomba kuna njia ilikua sijawahi kupita na hiyo ndio ilikua ni siku yangu ya mwanzo kupita njia hiyio usafiri niliokua natumia ilikua ni baskeli katika kwenda kwenda zangu nikajikuta nimeshaingia katika kambi ya jeshi e bwanaeeeee!!!!!! mara afande katoka gafla kijana unaenda wapi nikamjibu naenda hicho kijiji cha mbele hapo akasema alaa!! hebu weka hiyo baskeli hapo akanambia wee unajua hapa upo wapi nikamjibu c jui akasema chukua kile kiji ndoo pale anza kuchukua maji tia kwenye pipa pale mungu akajalia maji ikawa hayapo akaanza kunitesa na kunimbisha nyimbo ambazo hata mimi c zijui mara kawaita wenzake wakaja jumla wakawa 5 wakaanza kuniadhibu takriban masaa kama 3 hivi wananitesa tu mara push up mara nilale nyanyuka kwa mbali kuna raia wana ishi karibu na ile sehemu nikapiga kilele kuwambia wale raia jamani nakufa njoni mnisaidie lakini hawakuja kwa sababu hata na wao wangalikuja hapo wangali adhibiwa wakanitesa mpakaka waliporidhika mwisho kabisa wakanivua nguo nikabaki na bukta tu wakaanza kunipiga bakora kila mmoja bakora 5 za kweli kabisa nikikinga mkono hawaihesabu kwa iyo kila mmoja alianza kunipiga 5 hadi wakaisha wote na mwisho kabisa wakanambia nenda zako na hiyo baskeli yako usiipandie ibebe toka hapo hadi mwisho dah!!! sitosahau maishani mwangu hadi hii leo makovu ninayo ilikua miaka ya 1998

hapo kwenye wimbo ni huu ama...
..dada halima daily halima daily daily.
Anapenda bata daily halima daily daily!halima!daily!..halima daily daily..
Pole sana aisee
 
Back
Top Bottom