- Thread starter
- #41
mweeee kweli leo umeamuliwa!
Hahahahaha nakwambia nimekua mduchu kama yai la chawa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mweeee kweli leo umeamuliwa!
Mwanamke jiko😉😉😉😉
Hizi ni dume dadaangu!
Nimeandaa karosti hapa, si mbaya kama utanijaalia walau mbili hivi, usiku upiteHahahahaha tena kuna na maharage tamuje? Na supu ya kuku wa kienyeji
Nimeandaa karosti hapa, si mbaya kama utanijaalia walau mbili hivi, usiku upite
Usijali ntakugaia 3 mana 2 hutoshiba...karosti maini nini?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
We mchawi nini, umejuaje? Hako hako habibty
haha, chapati chapatini
michapati haina shepu loooh ukiolewa ukapika hayo utaachika mara moja urudi kwenu tandaleIlooooo mimate imekutoka lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
michapati haina shepu loooh ukiolewa ukapika hayo utaachika mara moja urudi kwenu tandale
Mmh! Mbona zina konakona kama godoro!!
Mwanamke jiko😉😉😉😉