duh kasukuma na stuli kwa chupa ya pepse kikaangio kipisi cha chungu.kama nime mwanamke arudi trainnig,ndoa inaahirishwa
Umefanya nimecheka sana, kwa hayo maandishi.
Shepu inahusika bana... Nakuuliza, mi unijie...Mwanamke jiko😉😉😉😉
Shepu inahusika bana... Nakuuliza, mi unijie...
mashavu ka unapuliza moyo inahusu...?
Shepu ya kihindi pyuwa ina mashiko...???
Miguu ka bomba za peni, tena za ndani, ndo nini....???
Nyonyo usipolivesha sidiria linafika kitovuni, una tenda ya kunyonyesha chekechea...????
Sura ya mbuzi, ili iweje...??? Kwani mimi mtoto kwamba usiponitisha sili..???
Weee cheka tu nlipokua nafundishwa kupika na mama hayo maneno nnayoambiwa nanunaaaaaa leo hii naona matunda yake
Hii inakuhusu wewe na wengine wooteee waliokosa shepu halafu wanatafuta visababu... Jikubalini mlivyo, haya ya kwamba .......chapati kuiva, shepu waachie mamodo ....ni maneno ya wakosa shepu...Heeeee toba weeee yote hayo wanipasha mie? Nilie kabisaaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mweeee kweli leo umeamuliwa!Heeeee toba weeee yote hayo wanipasha mie? Nilie kabisaaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hizi chapati zina pua,masikio na mdomo!!!
Hii inakuhusu wewe na wengine wooteee waliokosa shepu halafu wanatafuta visababu... Jikubalini mlivyo, haya ya kwamba .......chapati kuiva, shepu waachie mamodo ....ni maneno ya wakosa shepu...
CC Heaven on Earth