Kitu chapati.....

Kitu chapati.....

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,920
Mwanamke jiko😉😉😉😉
 

Attachments

  • 1393336069779.jpg
    1393336069779.jpg
    84.2 KB · Views: 666
Chapati zimeivaa vizuri sana japo mzunguuko hauko vema lakini ni nzuri.
 
Kwani shepu ya nn wakati ukiutia mdomoni ndo wazidi kuuvuruga???...mependa na hio msg🙂
 
Nimekula chapati na urojo yaani ata kunyanyuka nashindwa... Mr Rocky usiku usile sana utashindwa kuamka

Sio kuamka sema utashindwa kutembelea lile jukwaa la watoto kule chini kabisa kuangalia watoto wanachocheza kombolela utafiti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom